Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #61
😆😆😆😆CCM na Dola yake zimeshindwa kuiua CHADEMA ndio aweze Msigwa?
😆😆😆😆CCM na Dola yake zimeshindwa kuiua CHADEMA ndio aweze Msigwa?
CCM inategemea polisi na TISSCCM na Dola yake zimeshindwa kuiua CHADEMA ndio aweze Msigwa?
October kuna nini, sheria zinabadilika ili iwe october kweli, ama bado mnategemea tume hii hii na mbeleko ya vyombo vya dola?Tutajua october...
Wewe tulia hujui dikteta uchwara kama ni msanii atashiriki uchaguzi na wewe utashangaa!October kuna nini, sheria zinabadilika ili iwe october kweli, ama bado mnategemea tume hii hii na mbeleko ya vyombo vya dola?
Wanyalukolo hawana mambo ya kijinga jinga ! Wamekwisha sema SWELA ujue sasa ccm ndio imekwisha!Iringa imetapika
Hatukusema tutasusa, Tutazuia UchaguziWewe tulia hujui dikteta uchwara kama ni msanii atashiriki uchaguzi na wewe utashangaa!
Hamna jipya unajipendekeza na dikteta uchwara umemsaliti Mbowe!Hatukusema tutasusa, Tutazuia Uchaguzi
Unataka kunitoa kwenye reli, huna uwezo huo, kwani Mbowe hayuko Chadema?Hamna jipya unajipendekeza na dikteta uchwara umemsaliti Mbowe!
Ulitoka kwenye reli tangu jan 21 ,2025 hivi sasa unajiladhimisha na kujipendekeza!Unataka kunitoa kwenye reli, huna uwezo huo, kwani Mbowe hayuko Chadema?
Nilishawaambia Wajinga wenzio mara kadhaa humu kwamba Mimi niko Chadema, siko chadema kwa ajili ya mtu, watu watapita Chadema itabaki, Nimeweka tangazo humu jf la kuipigania Chadema katika kipindi chote nilichosaliwa nacho hapa Duniani , wakati naweka uzi ule nilifahamu kwamba viongozi watabadilika, kama hukuuona uzi ule utafute humu jf, utajifunza kituUlitoka kwenye reli tangu tarehe jan 21 ,2025 hivi sasa unajiladhimisha na kujipendekeza!
Unajipa moyo mbele za watu ukweli ni kuwa unaumia Mbowe kupigwa kumbo!Nilishawaambia Wajinga wenzio mara kadhaa humu kwamba Mimi niko Chadema, siko chadema kwa ajili ya mtu, watu watapita Chadema itabaki, Nimeweka tangazo humu jf la kuipigania Chadema katika kipindi chote nilichosaliwa nacho hapa Duniani , wakati naweka uzi ule nilifahamu kwamba viongozi watabadilika, kama hukuuona uzi ule utafute humu jf, utajifunza kitu
Utakuwa huna ubongoUnajipa moyo mbele za watu ukweli ni kuwa unaumia Mbowe kupigwa kumbo!
Wewe punguza uwongo!Utakuwa huna ubongo
Umeandika uongoHuyo bilionea Mungai ni mtu mifumo ya CCM. Siku CHADENA wanastuka kumekucha
Ukitulete usenge tunakupiga haswa.Sasa kichapo Cha maana kinakuja siku ya Uchaguzi atakaye jifanya anapanga mstari kupiga kura lazima alazwee sanaCHAA HII YA KUPIGA NaA KUJERUHI WANAWAKE