Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa
Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi
View attachment 3288049
Aliwapiga fix ccm kwamba ameua Chadema IringaHahaha Team Lisu watanuna, Msigwa na CCM walimshambulia Mbowe kumsaidia Lisu.
Baada ya kufanikiwa Msigwa hana kazi tena CCM, hata jukwaani hapandishwi maana hana lolote la kuongea, hana mvuto tena nadhani ccm nao watambwaga.
Sera au majukumu yake ilikuwa Mbowe, sasa Mbowe siyo mwenyekiti tena, Msigwa ataongea nini?
Atatimua Mbio mpaka lini au mpaka wapi?
Unajua alipokuwa amekaa na lilipokuwa gari lake ni distance Kidogo, sasa alivyoona nyomi akatimua mbio Ikangaa anasubiri, hakika hii nchi ina vipaji ila vimepuuzwa tuTaarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana
Ety katimua mbio....pwahahahhaaa 🤣🤣😂😂😂
Itakuwa Yuko chocho anawacheki.
Hakuwapiga fix ccm, alikuwa anafanya kazi na CCM bega kwa Bega, lengo lao lilikuwa kumuondoa Mbowe kuidhoofisha CHADEMA, alifanikiwa sasa hata huko CCM wakimpa MIC hana cha kuongea.Aliwapiga fix ccm kwamba ameua Chadema Iringa
Yule dada mliye mpiga alikuwepo??Hatari sana.
Kuhusu kuiua chadema aliwadanganya ccmHakuwapiga fix ccm, alikuwa anafanya kazi na CCM bega kwa Bega, lengo lao lilikuwa kumuondoa Mbowe kuidhoofisha CHADEMA, alifanikiwa sasa hata huko CCM wakimpa MIC hana cha kuongea.
Chadema wanafahamu ipo mioyini mwa watanzania siyo kadi na mavazi.
Na Udhalimu wa CCM nchi hii unaijenga CHADEMA mioyoni mwa wa Tanzania na siyo siasa za majukwaani.
Hakuwadanganya, hiyo ndiyo imani ya CCM miaka yote, Hailikwa jukumu la MSIGWA, Miak yote walishindwa kuiua CHADEMA Na ndio maana hata uchaguzi unauona unavyokuwa, Hata sasa ukiwauliza matokeo ya uchaguzi wa October 2025 Tume ya Uchaguzi wanayo na asilimia zake na washindi wanajulikana, hilo siyo jipya kwetu.Kuhusu kuiua chadema aliwadanganya ccm
Umenichekesha sana eti msigwa atimua mbio!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa
Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi
View attachment 3288049
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana ili kuepuka Aibu, hasa baada ya kuwadanganya ccm kwamba Ameua Chadema Iringa
View attachment 3288061View attachment 3288062View attachment 3288063
AmenChadema ni mpango wa Mungu kuikomboa Tanzania dhidi ya uongo, unaghai, ufisadi na ufedhuli wa CCM.
Mungu awabariki sana.
Hongera sana mkuuUmenichekesha sana eti msigwa atimua mbio!