PreGE2025 Ratiba: No Reform No Election yahitimishwa Kanda ya Nyasa, Ni Mkutano uliofanyika Iringa Mjini, Msigwa atimua mbio

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Hao watu hapo ni Jimbo la Iringa mjini au ni kata ya Iringa mjini?
 
Kwa hali hiyo kibabu msigwa lazima kijifiche chini ya uvungu
 
Msigwa alitamani sana moyoni mwake mbowe aendelee kuwa mwenyekiti ili apate cha kuongea akiwa huko ukijanini,ila ndo hivyo tena ataongea nini kwa sasa
 
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana ili kuepuka Aibu, hasa baada ya kuwadanganya ccm kwamba Ameua Chadema Iringa😂😂😂😂
 
Baada ya kufanikiwa Msigwa hana kazi tena CCM, hata jukwaani hapandishwi maana hana lolote la kuongea, hana mvuto tena nadhani ccm nao watambwaga.😂😂😂
 
Your browser is not able to display this video.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…