Sasa hivi ccm wako hospitalini na dada waliyemtuma kuvuruga mkutano wa cdm. Wanapishana hospitalini na macemera kuonyesha wao ni wema, nadhani leo ni zamu Makallla kulala na mgonjwa, huenda kesho ni zamu ya Chatanda. Wakiona kiki inabuma watamtelekeza kama Msigwa.Hahaha Team Lisu watanuna, Msigwa na CCM walimshambulia Mbowe kumsaidia Lisu.
Baada ya kufanikiwa Msigwa hana kazi tena CCM, hata jukwaani hapandishwi maana hana lolote la kuongea, hana mvuto tena nadhani ccm nao watambwaga.
Sera au majukumu yake ilikuwa Mbowe, sasa Mbowe siyo mwenyekiti tena, Msigwa ataongea nini?
Atatimua Mbio mpaka lini au mpaka wapi?
Ww si ndio unapaswa kulala na yule mgonjwa aliyepigwa na cdm kesho? Maana leo ni zamu ya Makalla. Kesho kutwa ni mama Samia. Hakikisheni mgonjwa anapona. Na kuna wagonjwa wengine ni wanacdm, hakikisheni mnachangisha pesa za kutosha muwatibu, wakipona muwape kadi za ccm.Haki yenu kushambulia viongozi wenu na kushapaza shingo kwa mambo yasiyo na faida!
Kwa sababu kikosi kazi chenu cha kushambulia watu kipo active na kinaendelea kushambulia tulijua hata yale maigizo ya yule aliyetekwa akala chips huku kazimia juu ya boda boda atakuja sema ukweli muda ukifikaWw si ndio unapaswa kulala na yule mgonjwa aliyepigwa na cdm kesho? Maana leo ni zamu ya Makalla. Kesho kutwa ni mama Samia. Hakikisheni mgonjwa anapona. Na kuna wagonjwa wengine ni wanacdm, hakikisheni mnachangisha pesa za kutosha muwatibu, wakipona muwape kadi za ccm.
Naona kitanda kimepamba kunguni jitahidi ulale mapema upate afya CCM haing'oki kwa kelele kama za walinda mpunga kama alishindwa lowassa kuitoa hakuna mwingine tena!Kudai REFORMS kwenye mfumo wa uchaguzi ni mambo yasiyo na faida?! We jamaa endelea kupiga deki ofisi ya Makalla.
Watang'oka kama Askari wa SADC π€£π€£Naona kitanda kimepamba kunguni jitahidi ulale mapema upate afya CCM haing'oki kwa kelele kama za walinda mpunga!
Nasema hivi, kakae na mgonjwa hospital, hizo siasa za bei rahisi haziwatoi. Cdm hii sio ya siasa za bei rahisi.Kwa sababu kikosi kazi chenu cha kushambulia watu kipo active na kinaendelea kushambulia tulijua hata yale maigizo ya yule aliyetekwa akala chips huku kazimia juu ya boda boda atakuja sema ukweli muda ukifika
ππππ
Si mlidai atarudi Chadema kwenye Mkutano wenu wa Irinha? Hata kuhitimishia Iringa lengo lilikuwa hilo na ndio maana watu walijaa kuona kama ni kweli anahama chama imara ama la! Mwisho wa siku walioshindwa kwenye hili ni Chadema na Mch. Msigwa kaibuka kidedea!Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa
Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi
View attachment 3288049
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana ili kuepuka Aibu, hasa baada ya kuwadanganya ccm kwamba Ameua Chadema Iringa
View attachment 3288061View attachment 3288062View attachment 3288063
Tutajua october...Nasema hivi, kakae na mgonjwa hospital, hizo siasa za bei rahisi haziwatoi. Cdm hii sio ya siasa za bei rahisi.
Tafuta panadol umeze!Watang'oka kama Askari wa SADC π€£π€£
Nani alidai hivyo?Si mlidai atarudi Chadema kwenye Mkutano wenu wa Irinha? Hata kuhitimishia Iringa lengo lilikuwa hilo na ndio maana watu walijaa kuona kama ni kweli anahama chama imara ama la! Mwisho wa siku walioshindwa kwenye hili ni Chadema na Mch. Msigwa kaibuka kidedea!
LogicHahaha Team Lisu watanuna, Msigwa na CCM walimshambulia Mbowe kumsaidia Lisu.
Baada ya kufanikiwa Msigwa hana kazi tena CCM, hata jukwaani hapandishwi maana hana lolote la kuongea, hana mvuto tena nadhani ccm nao watambwaga.
Sera au majukumu yake ilikuwa Mbowe, sasa Mbowe siyo mwenyekiti tena, Msigwa ataongea nini?
Atatimua Mbio mpaka lini au mpaka wapi?
CHADEMA HII YA KUPIGA NA KUJERUHI WANAWAKEChadema ni mpango wa Mungu kuikomboa Tanzania dhidi ya uongo, ulaghai, ufisadi na ufedhuli wa CCM.
Mungu awabariki sana.
Kijana ukipata akili subiri utajua kwani bint yako akitoroshwa haumpi ulinzi?Kwani hamuwapi ulinzi viongozi wenu??
Yupo busy na ufugaji wa kuku wa mayai. Aliona boni yai anatoboa, nae ameamua kuwa mfugaji.Hahaha Team Lisu watanuna, Msigwa na CCM walimshambulia Mbowe kumsaidia Lisu.
Baada ya kufanikiwa Msigwa hana kazi tena CCM, hata jukwaani hapandishwi maana hana lolote la kuongea, hana mvuto tena nadhani ccm nao watambwaga.
Sera au majukumu yake ilikuwa Mbowe, sasa Mbowe siyo mwenyekiti tena, Msigwa ataongea nini?
Atatimua Mbio mpaka lini au mpaka wapi?
Hii balaa sasaKuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa
Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi
View attachment 3288049
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana ili kuepuka Aibu, hasa baada ya kuwadanganya ccm kwamba Ameua Chadema Iringa
View attachment 3288061View attachment 3288062View attachment 3288063
π πUmenichekesha sana eti msigwa atimua mbio!
π πChama langu la CCM,, sisi tunakuja na mitano tena kwa mama
CCM na Dola yake zimeshindwa kuiua CHADEMA ndio aweze Msigwa?Aliwapiga fix ccm kwamba ameua Chadema Iringa