PreGE2025 Ratiba: No Reform No Election yahitimishwa Kanda ya Nyasa, Ni Mkutano uliofanyika Iringa Mjini, Msigwa atimua mbio

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
October kuna nini, sheria zinabadilika ili iwe october kweli, ama bado mnategemea tume hii hii na mbeleko ya vyombo vya dola?
Wewe tulia hujui dikteta uchwara kama ni msanii atashiriki uchaguzi na wewe utashangaa!
 
Sasa Oparesheni ya NO REFORMS NO ELECTION inaenda kanda ya Kusini ma huko huko ACT WAZALENDO wanaendelea na Oparesheni LINDA DEMOKRASIA ni fire ni πŸ”₯ πŸ”₯

Haowezekani Mwizi wa kuku apigwe mawe wakati Tume hii ya Wezi wa kura iachwe ituibie kura zetu.


View: https://youtu.be/L2JqAtA_nwo?si=mvuCXgKdp1rrL1TD
 
..Nasikia Chadema wanaelekea kanda ya Kusini.

..Na ACT tayari wameanza ziara katika kanda hiyo.

..Wananchi wa Kusini wana bahati ya kipekee kupata elimu kuhusu Reforms toka kwa vyama viwili makini kwa wakati mmoja.
 
Ulitoka kwenye reli tangu tarehe jan 21 ,2025 hivi sasa unajiladhimisha na kujipendekeza!
Nilishawaambia Wajinga wenzio mara kadhaa humu kwamba Mimi niko Chadema, siko chadema kwa ajili ya mtu, watu watapita Chadema itabaki, Nimeweka tangazo humu jf la kuipigania Chadema katika kipindi chote nilichosaliwa nacho hapa Duniani , wakati naweka uzi ule nilifahamu kwamba viongozi watabadilika, kama hukuuona uzi ule utafute humu jf, utajifunza kitu
 
Unajipa moyo mbele za watu ukweli ni kuwa unaumia Mbowe kupigwa kumbo!
 
Huyo bilionea Mungai ni mtu mifumo ya CCM. Siku CHADENA wanastuka kumekucha
 
CHAA HII YA KUPIGA NaA KUJERUHI WANAWAKE
Ukitulete usenge tunakupiga haswa.Sasa kichapo Cha maana kinakuja siku ya Uchaguzi atakaye jifanya anapanga mstari kupiga kura lazima alazwee sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…