Hizi picha sio nzuri kwa afya ya nchi.. Serikali iangalie namna ya kukaa na hawa watu... Aseee msiwachukulie poa hata kidogo... Mbele Sio...Kuwa wa kwanza kufahamu kwamba Ile kampeni Tukufu ya No Reform No Election kwenye kanda nzito ya Nyasa imehitimishwa leo Mjini Iringa
Pichani ni Tundu Lissu akiwa na Mwenyekiti wa Mkoa wa Iringa, Bilionea William Mungai wakisalimia Wananchi
View attachment 3288049
Taarifa zingine zinaeleza kwamba Baada ya kuona Umati wa Wananchi Mchungaji Msigwa alitimua mbio kwa kutumia gari na kutokomea kusikojulikana ili kuepuka Aibu, hasa baada ya kuwadanganya ccm kwamba Ameua Chadema Iringa
View attachment 3288061View attachment 3288062View attachment 3288063
Ni bahati ya kipekee sana wameipata Wananchi wa Kusini...Nasikia Chadema wanaelekea kanda ya Kusini.
..Na ACT tayari wameanza ziara katika kanda hiyo.
..Wananchi wa Kusini wana bahati ya kipekee kupata elimu kuhusu Reforms toka kwa vyama viwili makini kwa wakati mmoja.
AChilia mbali wasaniiiLile nyomi lilikuwa sio la mchezo na hakuna Mafuso wala Mabasi.
Polisi wapoHizi picha sio nzuri kwa afya ya nchi.. Serikali iangalie namna ya kukaa na hawa watu... Aseee msiwachukulie poa hata kidogo... Mbele Sio...
Labda policcmPolisi wapo
Nijambo jema.Yupo busy na ufugaji wa kuku wa mayai. Aliona boni yai anatoboa, nae ameamua kuwa mfugaji.
Mbowe alikuwa mwiba wa ccm, walivyompata Msigwa kummaliza walimlinda na kumlisha nyama na kumnywesha Pombe, Msigwa alianza kunenepa, sasa hana hoja na hawezi kujenga hoja wamesha mtaliki.Sasa hivi ccm wako hospitalini na dada waliyemtuma kuvuruga mkutano wa cdm. Wanapishana hospitalini na macemera kuonyesha wao ni wema, nadhani leo ni zamu Makallla kulala na mgonjwa, huenda kesho ni zamu ya Chatanda. Wakiona kiki inabuma watamtelekeza kama Msigwa.
Sasa bado Pombe za CCM na SSH. Hizo zikitoka wadanganyika watapewa Bure. Hadi kura watamwambia ajipigie za ndiyo.