GE2025 Ratiba ya chaguzi imetoka, NRNE chali. Liwe fundisho kwa wanaharakati

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Utakufa na kijiba cha roho na umaskini wako. Kwendraaaa
Ndiyo. Kuna siku nitakufa, hilo sina shaka nalo, wewe je?
Kuhusu umaskini hilo nikutoe hofu, si tatizo kwangu hata mara moja. Naishukuru sana Tanzania nchi yangu nzuri iliyo hakikisha kuwa huo umaskini halitakuwa tatizo tena kwangu. Ndiyo maana sina tabia za kijinga kama mlizonazo MIZOGA kama nyinyi mnao tumikia GENGE la Samia ili mtupiwe masalia wanayowatumia wao ili muendelee kuwatumikia kama watwana wao.

Watu wa aina yenu nawadharau sana.
 
Mageuzi huanza moyoni na akilini kumbuka hiyo na uitunze.
No reforms no election is a no brainer.

Maana yake ni kwamba huhitaji ubongo mkubwa kujua ukweli huu.

Na hizo reforms hazijaanza kuongelewa leo. Zimeongelewa na Jaji Nyalali kwenye ripoti yake, zimeongelewa na Jaji Kisanga kwenye ripoti yake, zimeongelewa na Jaji Bomani kwenye ripoti yaje, zineongelewa na Jaji Warioba kwenye ripoti yake. Tume nne hizo za Nyalali, Kisanga, Bomani na Warioba, zote zimeongelea reforms. Tangu kabla CHADEMA haijazaliwa wakati wa ripoti ya Jaji Nyalali.
 
Hawaelewi.....

Mimi mwaka 2020 na mwaka 2025 sijahangaika hata kujiandikisha... naishi NRNE
 
Itoke mara ya pili Itoke mara ya pili? au ratiba gani unasongelea
 
Kumbe siyo maskini? Sasa unalalamika nini? Mipango na fursa zimewekwa na CCM mpaka umetoka kwenye kundi la maskini?
 
Kumbe siyo maskini? Sasa unalalamika nini? Mipango na fursa zimewekwa na CCM mpaka umetoka kwenye kundi la maskini?
Hivi zinakutosha kichwani kweli wewe?
Hujui kinacho lalamikiwa?
Hatutaki mtutawale kwa nguvu. WaTanzania siyo mifugo yenu?

Unazungumzia CCM; unajua kitu gani kuhusu CCM wewe?
 
Hivi zinakutosha kichwani kweli wewe?
Hujui kinacho lalamikiwa?
Hatutaki mtutawale kwa nguvu. WaTanzania siyo mifugo yenu?

Unazungumzia CCM; unajua kitu gani kuhusu CCM wewe?
Wewe ni mfugo wa CCM tu. Kama siyo mfugo mbona unalalamika sasa?
 
Ni kweli tupu, NRNE imewa Cost
 
Mambo ya kizamani kabisa umeandika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…