Ratiba ya FIFA Confederation Cup 2017 Urusi

Ratiba ya FIFA Confederation Cup 2017 Urusi

Oyaa huu ni Uzi wa FIFA confederation cup na kinachopostiwa hapa ni kile kinachohusu mechi za kombe la mabadala.

Sasa wewe hizo habari cha Chelsea peleka kwenye nyuzi za Chelsea,

Anyway unaangalia game?
Mkuu, pana watu wa ajabu sana nchi hii. Ni sawa na ule msemo usemao 'kipofu akiona mwezi basi kila kitu atafananisha na mwezi'. Hawa hawabadiliki na hawataki kufahamu nje ya England pana soka murua sana kwengine.
 
Australia,alihamia Asia baada ya kyona hapati changamoto bara la Oceania.Kwa FIFA Australia siyo bara.Brazil hawez kuwepo siyo bingwa wa America kusini na kombe la dunia alipigwa Saba na German.

Alipigwa wiki zero mzee wakabaki kulialia kama mademu. Bora ye2 Waargentina 2lipigwa kamoja.tena kwa bahati mno.
Ningefuatilia hii michuano kama ingeshiriki.

Vamos ARGENTAIN
 
Group A
  • Today, Russia-New Zealand saa 12:00 jioni
  • Tomorrow, Portugal-Mexico saa 12:00 jioni
Group B
  • Sunday 18 june, Cameroon-Chile, saa 3:00 usiku
  • Monday, Australia-Germany, saa 12:00 jioni
Group A
  • Wednesday 21 june, Russia-Portugal saa 12:00 jioni
  • Wednesday 21 june, Mexico-New Zealand saa 3:00 usiku
Mkuu kama huto jari wanarusha channel gani haya mashindano
 
Bara la africa tunawakikishwa na Cameroon..

Europe wano wana wakilishwa na portugal ila germany ameingia kama bingwa wa kombe la dunia

South America ni Chile

North america ni Mexico

Australia wao wanawakilisha bara lao pia

New Zealand. Nadhani wanawakilisha Asia

Ila russia yeye ndo mwenyeji
Hivi New Zealand ipo Asia?
 
Portugal na German wasngekuepo nsingeangalia kabsa
 
Back
Top Bottom