Ratiba ya kuagwa mwili wa hayati Rais Magufuli; Mikoa minne kuuaga mwili, kuzikwa Chato

Aende tu ndugu zangu ameleta shida nyingi mno huko nchini Tanzania
 
Ratiba ya mazishi takes 2 days? They were congratulating on job well done- they killed him, they told us he was ok only to change the story to amekufa in 24 hours.
 
Ilinipitia nikapona...
Plan ni kubaki watu 500ml ifikapo 2030.... soma Georgia guidestones

Ukimaliza kufurahia jua tuko njiani na corona unayo for another 9 years nonstop ...
Kama nakuona mkuu jinsi Covid ilivyokuacha na butwaa
 
RIP JPM, japo bado siamini.

Mtu wa ajabu sana wewe!! Huamini kama binadamu anaweza kufa?? Sijui wewe ni imani gani lakini hata wasio na imani huamini katika kufa!

Au ni kujipendekeza tu kwa marehemu? Umenifanya nifikirie kumbe kiwango cha ujinga (adui wetu mkuu) bado ni cha juu sana. Umetia aibu!!!
 
Jifunze kusamehe Bwashee,mi Tra walinifilisi Bwashee ila nimesamehe.
 
Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
Wameanza mapema mno kufuja mali ya Umma. Mchwa watazitafuna sana...
 
Reactions: SMU
Namchukia Abbas hata sielewi ni kwa nini!!
 
19.03.2021
Dar es Salaam, Tanzania

Mh. Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuapishwa atoa hotuba fupi na ratiba ya mazishi.

Rais Samia Suluhu Hassan atangaza 21 za maombolezo na ratiba ya kumuaga hayati rais John Pombe Joseph Magufuli



Source: Ikulu mawasiliano
 
Wewe ni takataka
 
Taarifa ya ugonjwa ya raisi, huwa hazitolewi kirahis ivyo kama raia wengine
 
RIP
 
Jamani kumbe Magufuli alishatangulia mbele za haki ... Dah, sikuwa na taarifa!! Sasa nchi itaendaje? Doh
 
Acha ujuaji mkuu, huwezi ukajua hisia zake zipo deep kwa kiasi gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…