Janja weed
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 3,000
- 5,606
Aende tu ndugu zangu ameleta shida nyingi mno huko nchini Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ratiba ya mazishi takes 2 days? They were congratulating on job well done- they killed him, they told us he was ok only to change the story to amekufa in 24 hours.Huyu jamaa bado yuko ofisini? Anapaswa afukuzwe kazi mara moja.
Yaani siku zote mzee haonekani hadharani, kumbe mzee anaumwa mahututi, yeye kakaa kimya, sasa mzee amekufa ndio anakuja kutupa ratiba ya mazishi. Sasa ili iweje?
Maiti ina faida gani kwetu kuliko mtu mwwnye uhai?
Kama nakuona mkuu jinsi Covid ilivyokuacha na butwaa
RIP JPM, japo bado siamini.
Jifunze kusamehe Bwashee,mi Tra walinifilisi Bwashee ila nimesamehe.Nitamkumbua Magufuli kwa ukatili wake wa kutisha
1. Kuvunja nyumba za wananchi wa Kimara - Mbezi bila chembe ya huruma ila wale wa mwanza aliwaachia
2.Kupora Korosho za wananchi wa mikoa ya kusini kwa mtutu wa bunduki, hii hali iiwatia wananchi umasikini
3. Bila kujali kuwa watu wameshahudumu serikalini kwa muda mrefu na wanategemea kustaafu, akapitisha hoja ya uhakiki na kuwafukuza maelfu ya watu hao Huku akiwaacha bila kuwagusa wanasiasa na wateule wake katika hilo zoezi
4. Kubabikizia watu kesi za uhujumu uchumi, kuwatesa kupitia mfumo wa mashitaka na kuzisababishia familia zao maumivu makubwa na hali ngumu
5. Kuendelea kuwashikilia mamia ya masheikh walioko jela huku akisamehe wabakaji akina Babu Seya
6. Kukataa kuwapa watumishi wa serikai stahiki zao kwa wakati, ikiwemo kupandishwa madaraja na nyongeza za ishahara
7. Kuharibu chaguzi zote zilizofanyika chini ya serikali yake, kuanzia zile za marudio, serikali za mitaa na uchaguzi mkuu, Alidhuluu haki ya wananchi kuchagua viongozi wao
8. Magufuli alitunga sheria kandamizi, na kuvuruga misingi ya katiba. Kafanya kia jitihada kulifanya bunge liwe butu, kuiweka mahakama mfukoni etc
9. Magufuli alikuwa na kauli mbaya zisizo na staha mfano "sisomeshi wazazi, serikali siyo iliyoleta tetemeko, baki na mavi yako nyumbani, nitapiga mashangazi.. etc"
10. Alikuwa na miradi kadhaa au mpango wa miradi kadhaa ambayo ni white elephant mfano, uwanja wa ndege Chato, Midege,Mpango wa Uwanja wa mpira Chato
11..Magufuli alikuwa mdini, huhitaji kuwa mwanasayansi wa elimu ya jamii kuona kuwa teuzi zake ziliaia sana watu wa imani moja
12. Magufuli alikuwa haheshimu katiba waa sheria pale zinapokinzana na anachokitaka yeye, mfano haki ya kufanya siasa kwa vyama vya siasa iliyokuwepo kikatiba hakuiheshimu
13. Magufulu hakuthubutu na wala hakujali kufanya uchunguzi juu ya kupotea kwa Ben Saanane, Azory Gwanda, Kanguye na waliompiga risasi Lissu
Kwa hiyo mimi nakichukulia kifo cha Magufuli kama nafasi muhimu ili Taifa letu lipone.
Na sisi kama Taifa, tumeona kwa macho yetu namna katiba ya sasa ilivyokuwa hatari kama tunampata mtu mmoja asiyejali, ambaye ana element za udikteta, basi tuitumie nafasi hii kuliponya Taifa
Tangulia Magufuli, uwongo mbaya sitokumiss na sijawahi kukupenda kwa style ya uongozi wako, ninatamani Taifa lisipate Kiongozi mwenye mapungufu ya aina yako, ni mapungufu hatari kabisa
Umejibu kwa busara sana, lakini pole sana mkuuIlinipitia nikapona...
Plan ni kubaki watu 500ml ifikapo 2030.... soma Georgia guidestones
Ukimaliza kufurahia jua tuko njiani na corona unayo for another 9 years nonstop ...
Wameanza mapema mno kufuja mali ya Umma. Mchwa watazitafuna sana...Isingetosha kuaga DSM na Chato tu? Au Dodoma na Chato tu? JPM hakupenda matumizi makubwa ya pesa za walalahoi. Hiki kinachopendekezwa kufanyika sio "magufulification" kabisa
Namchukia Abbas hata sielewi ni kwa nini!!Huyu jamaa bado yuko ofisini? Anapaswa afukuzwe kazi mara moja.
Yaani siku zote mzee haonekani hadharani, kumbe mzee anaumwa mahututi, yeye kakaa kimya, sasa mzee amekufa ndio anakuja kutupa ratiba ya mazishi. Sasa ili iweje?
Maiti ina faida gani kwetu kuliko mtu mwwnye uhai?
Wewe ni takatakaMtu wa ajabu sana wewe!! Huamini kama binadamu anaweza kufa?? Sijui wewe ni imani gani lakini hata wasio na imani huamini katika kufa!
Au ni kujipendekeza tu kwa marehemu? Umenifanya nifikirie kumbe kiwango cha ujinga (adui wetu mkuu) bado ni cha juu sana. Umetia aibu!!!
Taarifa ya ugonjwa ya raisi, huwa hazitolewi kirahis ivyo kama raia wengineHuyu jamaa bado yuko ofisini? Anapaswa afukuzwe kazi mara moja.
Yaani siku zote mzee haonekani hadharani, kumbe mzee anaumwa mahututi, yeye kakaa kimya, sasa mzee amekufa ndio anakuja kutupa ratiba ya mazishi. Sasa ili iweje?
Maiti ina faida gani kwetu kuliko mtu mwwnye uhai?
19.03.2021
Dar es Salaam, Tanzania
Mh. Rais Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuapishwa atoa hotuba fupi na ratiba ya mazishi.
Rais Samia Suluhu Hassan atangaza 21 za maombolezo na ratiba ya kumuaga hayati rais John Pombe Joseph Magufuli
Source: Ikulu mawasiliano
Unalisamehe vipi jitu katili la viwango hivyo?Jifunze kusamehe Bwashee,mi Tra walinifilisi Bwashee ila nimesamehe.
Acha ujuaji mkuu, huwezi ukajua hisia zake zipo deep kwa kiasi gani.Mtu wa ajabu sana wewe!! Huamini kama binadamu anaweza kufa?? Sijui wewe ni imani gani lakini hata wasio na imani huamini katika kufa!
Au ni kujipendekeza tu kwa marehemu? Umenifanya nifikirie kumbe kiwango cha ujinga (adui wetu mkuu) bado ni cha juu sana. Umetia aibu!!!