Ratiba ya michezo ya CAF kwa timu za Yanga na Simba

Ratiba ya michezo ya CAF kwa timu za Yanga na Simba

Raundi 1
November 24/25
Simba vs Asec
Belouizdad vs Yanga

Raund 2
December 1/2
Galaxy vs Simba
Yanga vs Al Ahly

Round 3
December 8/9

Wydad vs Simba
Medeama vs Yanga

Round 4
December 18/19

Simba vs Wydad
Yanga vs Medeama

Round 5
February 23/24

Asec vs Simba
Yanga vs Belouizdad

Round 6
March 2/3

Simba vs Galaxy
Al Ahly vs Yanga
 
Raundi 1
November 24/25
Simba vs Asec
Belouizdad vs Yanga

Raund 2
December 1/2
Galaxy vs Simba
Yanga vs Al Ahly

Round 3
December 8/9

Wydad vs Simba
Medeama vs Yanga

Round 4
December 18/19

Simba vs Wydad
Yanga vs Medeama

Round 5
February 23/24

Asec vs Simba
Yanga vs Belouizdad

Round 6
March 2/3

Simba vs Galaxy
Al Ahly vs Yanga
Asabte sana mkuu.
 
1696700528289.png
 
Raundi 1
November 24/25
Simba vs Asec
Belouizdad vs Yanga

Raund 2
December 1/2
Galaxy vs Simba
Yanga vs Al Ahly

Round 3
December 8/9

Wydad vs Simba
Medeama vs Yanga

Round 4
December 18/19

Simba vs Wydad
Yanga vs Medeama

Round 5
February 23/24

Asec vs Simba
Yanga vs Belouizdad

Round 6
March 2/3

Simba vs Galaxy
Al Ahly vs Yanga
Hii ratiba inaibeba yanga, washinde wenyewe
 
Round 1 : P1 v P4 ___ P2 v P3

Round 2 : P3 v P1 ___ P4 v P2

Round 3 : P1 v P2 ___ P4 v P3

Round 4 : P2 v P1 ___ P3 v P4

Round 5 : P4 v P1 ___ P3 v P2

Round 6 : P1 v P3 ___ P2 v P4

P1, P2, P3 na P4 ni Pot1, Pot2. Pot3 na Pot4 respectively
Mara zote kwa CAF hii ratiba huwa hivyo, so baada ya draw huwa wanajaza tu majina ya timu. Aliyesema hii ratiba inambeba Yanga wala hajakosea. Mara nyingi timu za pot 3 huwa zinanufaika na vita vya timu za pot 1 na 2 maana hawa hukutana raundi ya tatu na ya nne. Mmojawapo akidhoofishwa katika michezo miwili hiyo ya raundi ya tatu na ya nne, basi aliyeshinda huwa anakuwa amemaliza kazi, na hata mechi ya mwisho anapokutana na timu ya pot 3, anakuwa hakazi sana maana anakuwa ameshaqualify, jambo ambalo ni advantage kwa mtu wa pot 3
 
Upo sahihi, Huo mpangilio upo kwa misimu mitatu mpaka sasa.
Msimu wa 2022/2023
2021/2022 na msimu wa 2020/2021

Msimu wa 2022/2023 timu za pot 3 zilizovuka kwenda hatua inayofuatia ni tatu kati ya nne (Simba, Belouizdad na Kabylie)

Msimu wa 2021/2022 timu za pot 3 zilizovuka kwenda hatua inayofuatia ni timu 3 ( Setif, Petro luanda na Belouizdad)

Msimu wa 2020/2021 timu mbili za pot 3 zilifuzu hatua inayofuatia ( is Simba na Mc Alger)

Ngoja tuone msimu huu nini kitatokea ila kwa msimu iliyopita timu za pot 3 zimekuwa zikivuka timu mbili na kuendelea hadi tatu.
 
Back
Top Bottom