Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

Matusi ni dalili ya kukosa point au empty head.
Umeshawahi kuona waungwana wakitukana?
Matusi ni maneno yasemwayo na Malaya na walevi wa pombe chafu. Wewe Ni mwanamke Malaya na mlevi wa pombe chafu.
Kumfulia mmeo Amsterdam ni matusi?
 
  1. DAR - GEITA ==> 06:00 - 07:40 ==> 40 minutes.
  2. GEITA - MWANZA ==> 08:20 - 08:50 ==> 30 minutes.
  3. MWANZA - DAR ==> 09:00 - 11:00 ==> 60 minutes.

Inaonekana kuna mahali inatembelea gia kubwa ku-justify hiyo route.
 
Na ATCL Wana Booking office kabisa pale Chato nimewahi kuziona pale lakini mtu anatema nyongo hapa kuwa uwanja umegeuzwa kuanikia mpunga.
Wabongo wanafika sana.
Wanalazimisha ndege zinazoenda Mwanza zipitie Chato!Unaweza kukuta hakuna hata abiria mmoja anayeshukia Chato ila ndege inalazimika kupita Chato ndio iende Mwanza!
Nimeshawahi kupanda ndege kutoka dar kuja Mwanza,tulipoteza muda tu kutua chato!Hakuna abiria aliyeshuka zaidi staff mmoja!
 
Mbona ipo siku zote hii route na watu wanakwea mwewe kama kawaida..unawatiliaga maanani watu wa humu wanaopaitaga gbadolite?
Watu wengi wanapotoshwa sana na taarifa za mitandaoni.

Wapo waliosema kiwanda cha sukari cha Bhakresa cha Bagamoyo hakitafanya kazi sababu mwekezaji hakutaka kujenga kalazimishwa kwa nguvu na JPM.

Sasa kinakaribia kufanya kazi.
 
Ujenzi wa Chato airport tumeingizwa chaka sema ndio hivyo tu watu kwa maana ya viongozi wanaona haya kulisema wazi lakini ukweli pesa imepotea kwa sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.
 
Watu wengi wanapotoshwa sana na taarifa za mitandaoni.

Wapo waliosema kiwanda cha sukari cha Bhakresa cha Bagamoyo hakitafanya kazi sababu mwekezaji hakutaka kujenga kalazimishwa kwa nguvu na JPM.

Sasa kinakaribia kufanya kazi.
Aisee habari njema sana hizo thanks kwa update. Na bado mijamaa hiyohiyo itakuwa ya kwanza kupeleka barua za maombi ya kazi kiwanda kikitangaza ajira.
 
Jamani acheni upotoshaji, hiyo route ipo kila wiki na abiria wapo wa kutosha ukijumlisha na wale wa Mwanza. Huduma hiyo kwa wasafiri wa Biharamlo,Ngara, Kakonko, Nyakanazi na Kibondo ni kiunganishi kizuri na Dar es salaam.
 
Ingia kwenye portal ya atcl fanya kubook safari ya Geita (Chato) kwa tarehe uitakayo. Safari zipo siku zote nyie mnaishia kumaliza wino wa simu zenu tu kujoke uwanja sijui ugeuzwe eneo la kuanikia mahindi
Kuna mlinzi mmoja alinifuata pale Chato Airport na kunitaka nifute picha zote nilizopiga pale kabla ya safari...

Nilizipiga kwa nia njema kuonyesha kuwa abiria wapo kiasi chake....Ingesaidia kuwaaminisha akina Thomaso.

Watendaji pale Chato wajirekebishe tu, waruhusu watu wapige picha za ukumbusho.
 
Back
Top Bottom