GwaB
JF-Expert Member
- Mar 19, 2014
- 4,291
- 5,786
Ndio, Dar-Chato saa 1 moja na nusu hivi, Chato-Bwana/Bmro- Nyakanazi- Kibondo kwa basi masaa sita kasoro.Dar to Kibondo kupitia Chato kwa ndege ni masaa 7?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio, Dar-Chato saa 1 moja na nusu hivi, Chato-Bwana/Bmro- Nyakanazi- Kibondo kwa basi masaa sita kasoro.Dar to Kibondo kupitia Chato kwa ndege ni masaa 7?
Kuwa na ofisi siyo tatizo Mkuu, shirika linaendeshwa na fedha zinazotoka kwingine, wafanyakazi watalipwa tu vizuriNa ATCL Wana Booking office kabisa pale Chato nimewahi kuziona pale lakini mtu anatema nyongo hapa kuwa uwanja umegeuzwa kuanikia mpunga.
Wabongo wanafika sana.
Zamu ya Zanzibar sasa.Ubinafsi mbaya sana jamaa katumia fedha za umma kwa malengo yake binafsi.
Hivi ratiba inaonesha Chato ama geita?Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini.View attachment 1971883
Mimba ya Magufuli itakutoa roho mbwa weweVile tunaforce safari za Chato ili kumfurahisha mwendakuzimu aliopo kuzimu[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1972170
Chato ndio GeitaHivi ratiba inaonesha Chato ama geita?
Au mimi sijaelewa[emoji848]
Yeye yupo? Ubabe, ujeuri,ujivuni, ufedhuri,ukatili,roho mbaya n.k vyote havikumsaidia chochote.Mjinyonge sasa
Wivuuuu tuShirika litakufa, badala ya kufanya biashara linafanya siasa
Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini.View attachment 1971883
Safari Za Bure.....Shirika litakufa, badala ya kufanya biashara linafanya siasa