Siri ya sifuri
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,335
- 1,967
kaburi la mwamba lipo huko, Mabeberu lazima waende wakathibitishe kwa macho yao kama kweli kafa.Chattle kuna biashara gani? au kuna thamani kiasi gani cha Atcl kuwa na safari za huko na zikalipa?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]hivi 06:00 - 07:40 ni only 40 minutes!
kumbe Ma askari Polisi mko wengi nchi hii.
Huna akili kama mtu atatoka Dar ashukie chato badala ya Mwanza.. Chato ambako hakuna hata supermarket wala Taxi anaenda kutafuta nini huko mbuga za burigiWewe hujui kitu unafikiri abiria lazima watoke Chato pekee huo uwanja unahundumia Geita nzima na maeneo yote ya jirani.
Hii ratiba ni kila siki au ni leo kwasababu kuna shughuli ya kuzima mwenge leo. Tupe ratiba ya wiki ijauo nzima na ya wiki iliyopita nzima na abiria waliopanda na kishukia hapo.Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini.View attachment 1971883
Na litazikwa kwa mara nyingine soonShirika litakufa, badala ya kufanya biashara linafanya siasa
Unateseka sana.Utanyooka tu kenge wewe mmeo gaidi ananyea ndoo
Kweli sina akili mm. Wewe mwenye akili weka hapa ratiba ya ndege chato leo tarehe 14 na kesho na kesho kutwa. Na za mwezi ujaoHuna akili ewe mke wa Amsterdam
Shirika litakufa, badala ya kufanya biashara linafanya siasa
Kwa sababu hauko moshi ?Ujenzi wa Chato airport tumeingizwa chaka sema ndio hivyo tu watu kwa maana ya viongozi wanaona haya kulisema wazi lakini ukweli pesa imepotea kwa sababu ya ubinafsi wa mtu mmoja.
2011 nilienda UK Mjin unaitwa Hereford nilioanda direct flight Dar to Hethow, British Airways !!!Wewe uko Tandale na hujawahi safiri na ndege tangu utoke tumboni mwa mama yako utajua biashara ya ndege wewe!!
Mwamba kilaza!!! Lugha gonganaaaaakaburi la mwamba lipo huko, Mabeberu lazima waende wakathibitishe kwa macho yao kama kweli kafa.
Wewe mume apigwa na funza "mungu MTU"Utanyooka tu kenge wewe mmeo gaidi ananyea ndoo
Kaondoe gov wewe linanuka ratiba ya ck moja!?Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini.View attachment 1971883
Huyo kilaza mkono was sweta wamuwasha anaropoka mwambie atoe ratiba ya wkSafi Sana Kwa Mara Nyingine Chettle Airport Inakuwa Juu