Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

Ratiba ya safari za ATCL kuelekea Chato Airport

Kinuju

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2021
Posts
2,386
Reaction score
5,325
Wote waliotangaza kuwa Chato airport imegeuzwa ya kuanikia mahindi na dagaa na walelewa Ubelgiji wote waje washuhudie ratiba ya ATCL hapa chini.

ATCL inatua Chato mara tatu kwa wiki na ikiwa imejaza abiria.

IMG-20211011-WA0009.jpg
 
Wanataka kutunyamazisha...

Ngoja tuone!
 
Na ATCL Wana Booking office kabisa pale Chato nimewahi kuziona pale lakini mtu anatema nyongo hapa kuwa uwanja umegeuzwa kuanikia mpunga.
Wabongo wanafika sana.
Chattle kuna biashara gani? au kuna thamani kiasi gani cha Atcl kuwa na safari za huko na zikalipa?
 
Na ATCL Wana Booking office kabisa pale Chato nimewahi kuziona pale lakini mtu anatema nyongo hapa kuwa uwanja umegeuzwa kuanikia mpunga.
Wabongo wanafika sana.
Booking office inapanda ndege?
Hata mataa ya kuongozea magari yapo pale lkn do they serve any purpose?
Ukienda benki ma teller wanachati tu kwenye simu zao.
Hotel occupancy is less than 30%•
Laws of demand and supply ndio Zina influence business, never politics.
 
Wewe mke wa Amsterdam umemfulia mmeo?
 
Back
Top Bottom