Ratiba yako ya kulala na kuamka ikoje?

Kulala inategema ni siku, kama ni siku ya kupiga mechi basi nalala saa 00:30 kuamka saa 06:00 Am, kama wife kazingua basi kulala 22:00
 
Nalala kabla ya kuamka na naamka baada ya kulala...
 
Tuambie unalala saa ngapi na pia unaamka saa ngapi?
Binafsi ni hivi kila siku
Kulala kuanzia 5:00usiku na kuendelea

Kuamka 11:15alfajiri
Nishazoea kiasi kwamba sihitaji alarm

Kwako ikoje ratiba


Wacha uwongo bwana, wewe ni kijana wa Dar ratiba yako ya kupiga punyeto mbona hujaiweka?
 
Minimum is 8hrs

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sina muda maalumu wa kulala ila kuamka ni 05.30 am kwa week days tukishaingia weekends pia sina muda maalamu wa kuamka
 
Mi kwangu ni kuanzia saa 5 usiku kulala na kuamka 11 kamili alfajiri. Nilishajaribu kubadili ratiba hiyo nikashindwa aisee!

Usiige, tii mwelekeo wa mwili wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…