Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Barmaid[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Au mchezesha kamali
Nimepatua walahi
Sent using Jamii Forums mobile app
Duuh! Kakaaaa.
Tuambie unalala saa ngapi na pia unaamka saa ngapi?
Binafsi ni hivi kila siku
Kulala kuanzia 5:00usiku na kuendelea
Kuamka 11:15alfajiri
Nishazoea kiasi kwamba sihitaji alarm
Kwako ikoje ratiba
Minimum is 8hrsInasemekana nchi za ulimwengu wa tatu watu wake hutumia mda mwingi kuchapa Usingizi.
Mu'south korea mmoja nilimsikia akinena kwamba kama unalala zaiidi ya masaa matano basi Umasikini kwako kuondoka itachukua mda sana.Masaa matatu yatosha kabisa kwa usingizi (lakini hii inawezakuwa inapingana na wataalamu wa Afya ya binadamu..? )
"Usingizi ndugu yake kifo,Hivyo usipende kulala"bwana Langa aliwahi kusema hivyo.
Ratiba yangu ya kulala mara nyingi huwa 2:05 Usiku,Kuamuka 6:30/7:00 Asbuhi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Io ni lazima mkuu haina haja ya kusema ni saa ngapi hahahahaWacha uwongo bwana, wewe ni kijana wa Dar ratiba yako ya kupiga punyeto mbona hujaiweka?
Hahahaha wanga utawajuaBado kuna watu wanalala?
Mimi najiegesha tu nusu saa tosha kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Io ni lazima mkuu haina haja ya kusema ni saa ngapi hahahaha