Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha we mwl. MzoefuNdugu yangu. Nilianza kazi ya ualimu katika hizi shule za kata za serikali nikitokea shule ya private. Kama unavyojua shule za private ni nginja ngija. Mnaamka saa 12 asubuhi mnawasimamia watoto katika program mbali mbali hadi saa 4 usiku wanakwenda kulala. Mshahara ulikuwa mzuri mixa na viposho na tubahasha twa hapa na pale. Nilipo kuja serikali nikaendelea na ule moto. Waalim niliowakuta wakaniambia dogo uta sizi kama sio kufleti. Aisee sikuchukua hata miez 6, nikawa kama wao.
Hayo matamko yanaishia kwenye vyombo vya habari. Njoo huku kijijini uone waalim wanaenda shuleni saa 4 asubuhi, yaan ni shidaaa tena kuna siku hatuendi kabisa shuleni nashinda shamba nalima.
Siwezi kujila. Kama posho ipo napiga mzigo kama haipo saa 7 mchana nachora
Mkuu huwa unanikumbusha novel ya Unanswered Cries iliyoandikwa na Osman ContehMimi sioni tatizo maana shule nyingi hasa za gvt watoto hutoka SAA nane na nusu wwkati muda wa kazi no SAA tisa na nusu,hivyo walimu tunaiibia serikali SAA limoja,sasa kufikia SAA 10 na nusu ni saa limoja tu limeongezeka
Changamoto iko kwa watoto hasa sisi tunaofundisha vijijini ,mtoto ataweza kukaa darasani kwa almost teni hours bila kula? Maana shule nyingi ni za kutwa
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kaka nimekusoma. Ujue waalim tuna machungu mtu asikwambie. Ukifatilia mishahara yetu huwezi mruhusu mwanao asome ualimu. Mtu anafanya kazi bandarini mkoa wa dar anapewa housing allowance. Mm huku nakaa nyumba inavuja mpaka nastaafu siipati hiyo kitu. Ujue kuna mambo yameota mizizi hii awamu ya tano na watu wapo kimya kabisaKwa kukusaidia tu usipende kuanika plan zako kama umekusudia kufanya hivyo fanya kimya kimya usijekuingia matatani
Huo ndio uzalendo ambao tunautakaKwa ajili ya wanafunzi nitakaa nitapambana hadi wafaulu basi mengine tutaendelea kuyajadili
Hiyo changamoto sio ya vijijini Tu hata mjini ipo sana.Muda wa jioni watoto wengi wanatoroka hawakai darasani.Mimi sioni tatizo maana shule nyingi hasa za gvt watoto hutoka SAA nane na nusu wwkati muda wa kazi no SAA tisa na nusu,hivyo walimu tunaiibia serikali SAA limoja,sasa kufikia SAA 10 na nusu ni saa limoja tu limeongezeka
Changamoto iko kwa watoto hasa sisi tunaofundisha vijijini ,mtoto ataweza kukaa darasani kwa almost teni hours bila kula? Maana shule nyingi ni za kutwa
Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
Kuna mahali huelewi na au unafanya makusudi kwa choyo iliyokuwa nayo juu ya walimu! Mwalimu ni mwajiriwa wa kudumu na kwa mujibu wa Sheria za ajira anazo stahiki zake mama likizo za namna zote ambazo akienda mshahara wake hausimami! Hata wakati wa majanga walistahili kulipwa kwa mujibu wa mkataba huo wa kudumu wa ajira kwani wao hawakuamua kubaki majumbani Bali mwajiri wao!Walipwe overtime ya nini, mbona wamelipwa miezi mitatu bila kufanya kazi, na mwezi wa tatu walifanya nusu mwezi wakalipwa full[emoji848]
Jana ulikuwa Sikh ya mtoto wa Afrika.Sijui ni hatua gani ziachukuliwa ili kulinda usalama wa watoto.
Naona watu wengi wanaliongelea Sana hili la walimu kulipwa mshahara ilihali walikua hawaendi kazini.Chakujiuliza walipanga wenyewe wasiende kazini?Nawaonea huruma tu wanafunzi wakutwa kama watafanikiwa kukaa mpaka huo muda bila kula.Kuna mahali huelewi na au unafanya makusudi kwa choyo iliyokuwa nayo juu ya walimu! Mwalimu ni mwajiriwa wa kudumu na kwa mujibu wa Sheria za ajira anazo stahiki zake mama likizo za namna zote ambazo akienda mshahara wake hausimami! Hata wakati wa majanga walistahili kulipwa kwa mujibu wa mkataba huo wa kudumu wa ajira kwani wao hawakuamua kubaki majumbani Bali mwajiri wao!..
Sidhani kama wamefikiria kabisa hili, mazingira ya shule nyingi siyo rafiki na hilo agizo.Jana ulikuwa Sikh ya mtoto wa Afrika.
Siku chache zijazo, na hata awali, watoto wanashinda njaa na kiu shuleni.
He utulivu na ushiriki wa watoto kwenye masomo umefikiriwa?
Punda afe mzigo wa bwana ufike.
Mimi ni mwalimu. Wakat watoto wapo nyumbani nilikuwa natoa kazi watoto wafanye na nasahihisha madaftar karibua elfu moja kwa wiki. Hilo lilikuwa agizo la katibu tawala wa mkoa niliopo.
Sasa hayo masaa mawili ya ziada yapo kisheria na posho inatakiwa iwepo. Vinginevyo naona kama wanapigia mbuzi gitaa. Sina mpango wa kukaa mpaka muda huo. Mm ikifika saa 7 mchana nachora nipo geto.
Waalimu walipokuwa nyumbani walikuwa hawalipwi? Ifikie wakati tuwe tunasaidiana.Waziri wa Elimu katia waraka na ratiba mpya za mihula ya shule jana.
Ndani ya waraka huo kaongeza muda wa masaa mawili kwenye RATIBA za shule yaani zianze SAA 2:00 asubuhi hadi SAA 10:00 jioni badala ya SAA 8:00 mchana.
Katika kuongeza huku hakuzungumzia malipo ya ZIADA (overtime) kwa walimu ambao no watekelezaji na wasimamizi wa RATIBA hiyo.
Nauliza je, amesahau kuwa muda wa kazi kwa mwajiriwa wa umma unaishia SAA 9:30 alasiri? Kama kaongeza muda wa kazi haoni kuwa Kuna haja ya kumlipa ZIADA huyu mwalimu kwani naye muda wake wa kazi hautofautiani na wafanyakazi wa kada nyinginezo?
CWT na hata serikali watoa majibu ya kama KUTAKUWEPO na malipo ya ziada na kinyume chake kutaleta mgogoro wa kikazi kati ya mwajiriwa na mwajiri.
Hebu kuweni na wito jamani!!Mimi ni mwalimu. Wakat watoto wapo nyumbani nilikuwa natoa kazi watoto wafanye na nasahihisha madaftar karibua elfu moja kwa wiki. Hilo lilikuwa agizo la katibu tawala wa mkoa niliopo.
Sasa hayo masaa mawili ya ziada yapo kisheria na posho inatakiwa iwepo. Vinginevyo naona kama wanapigia mbuzi gitaa. Sina mpango wa kukaa mpaka muda huo. Mm ikifika saa 7 mchana nachora nipo geto.
Wewe unasaidia vingapi na kwa muda gani kila siku?Waalimu walipokuwa nyumbani walikuwa hawalipwi? Ifikie wakati tuwe tunasaidiana.
Sent from my LM-Q710(FGN) using JamiiForums mobile app
...but wakati shule zimefungwa si wamelipwa mishahara kama kawaida? Kumbuka kada nyingine za ajira ziliendelea na kazi wakati walimu wakipumzika katika kipindi chote cha corona.Waziri wa Elimu katia waraka na ratiba mpya za mihula ya shule jana.