anatengeneza pesa gani naye hana kazi ya kumuingizia kipato na analala kwa watu?
wewe mwenyewe bado umepewa hifadhi na x- wako! muache na yeye akae kwa watu, kama kukaa kwa watu ndio kunadetermine mtu ana pesa au la! basi na turudi kwenye1960s huko kwatufaa! usikomae utosi tu, ili kukidhi haja ya makwenzi! komaa na akili ufikiri wa akili!
nitakuwa nimegonga utosini unabwabwaja tu..............lol.kukomaa akili mwambieni huyo mange wenu ndiio akomae akili sio ujanja kuvaa CL za bei mbaya halafu unaenda kubanana na watoto wa dr mwele...lol,nyumba za kupanga zipo hadi za buku kumi...lol
I don't even know the girl ...
is she beautiful ..?thick and curved ?she got a booty? light skin or chocolate color?and understanding?
That are my no-negotiable if she meet the criteria I may like her but I'm not looking .
Class ? what class is she!!? what is accomplished ?what she earn ?what her attitude?
I don't know this girl may be she of that class....
Talking about making money....I get decent pay check I with I could tell you but that would be childish
This is spear time ...I hope is the same to you too
nitakuwa nimegonga utosini unabwabwaja tu..............lol.kukomaa akili mwambieni huyo mange wenu ndiio akomae akili sio ujanja kuvaa CL za bei mbaya halafu unaenda kubanana na watoto wa dr mwele...lol,nyumba za kupanga zipo hadi za buku kumi...lol
Ray ndo anakurupuka,atampa promo zaidi huyo mdada na globe yake,,the best way ilikuwa ni kukaa kimya tu na kumpotezea,after time kila kitu kingekuwa kimya
kaka wengine hawa ni kunguru hafugiki!!MANGE ni nani? Mara kaishtaki Google mara yupo humu JFHivi hakuna mwanaume wa kz humu jamvini.akanidadavulia maana mmedokeza ana zungu hebu mtafutieni RUNGU awe SILENT WHISPER
unajua chanzo au unadandia gari kwa mbele, ukitaka uhakika fungua blog ya u-turn tafuta sehemu aliyoandika kuhusu raya kama utaiona. nasoma mara nyingi hiyo blog cjawahi kuona amemtoa ray
umbea tu, huyu dada hajawahi kutoa kwenye blog yake kitu chochote kinachomuhusu muigizaji ray