Ila nataka Ray awhakikishie watanzania kuwa hakuwa na uhasama na marehemu Kanumba kwaa kuwa ni blog nyingi sana ziandika kuwa mahusiano yao hayakuwa mazuri na hawakuwa wanaongea. Na walipotaka kupatanishwa ilitoka usemi kuwa "tutamalizana kiume". Hizi ni rumours ambazo tunazisoma kama ambavyo tumesoma kwa u-turn. Lakini pia kama kweli hawakuwa karibu inakuwaje aende kwake alipopata habari amefariki au kuanguka and at the same time kuwa busy kupiga picha mwili wa marehemu before na akiwa mortuary? It was immoral maana picha pia zilisambazwa mitandaoni, japo sina hakika kama zilisambazwa na nani? Nafikiri mtu ambaye anaweza kueleza ukweli wa hali halisi ya mahusiano ya marehemu na RAY ni mdogo wa marehemu na LULU, period. Kuongea media haisaidi, tusubiri ukweli.
Kuhusu huyuu kicheche Mange, niliona ile post hapa iki accuse RAY but ukweli she is in trouble. That was too sensitive to aired in any how?