Ray Asema Yeye Ndiyo Msanii Tajiri Kuliko Wote Hapa Bongo

Ray Asema Yeye Ndiyo Msanii Tajiri Kuliko Wote Hapa Bongo

Kanuni ya utajiri ni moja, haufichiki...!

Jamaa ana mpunga kias chake maana nilisikia ana viwanja kam vinne kuna kimoj kipo bunju ndo anaporomosha mjengo, pia anamilik magar manne ikiwemo ile landcruiser
 
Una hela halafu unaendesha Mark X km 200000 ndio imetoka show room.?
 
jamaa ana mpunga kias chake maana nilisikia ana viwanja kam vinne kuna kimoj kipo bunju ndo anaporomosha mjengo, pia anamilik magar manne ikiwemo ile landcruiser

warumi hiyo ni sawa na nampongeza lakini hawezi kujivunia utajiri, kati ya magari yote anayomiliki ni lipi mojawapo kalinunua 0km? At least angekuwa na vitega uchumi vya usd mil1 hapo kidogo afadhali. Nampa changamoto akaze buti, apate mafanikio kama ya akina chamellion, magari yatamlostisha
 
huyu ray kweli ni boya kabisa, anasema hapendi kujitangaza huku muda huohuo anajitangaza.

atuwekee bank statement yake hapa aache kutuletea mashuzi.
 
last time nimecheki celebrities wa duniani matajiri niliona assets wanazo miliki. Ila sikuona magari, viwanja wala nyumba.

Hawa ndugu zetu wakae kimya kwani bado sana kujipa sifa ya ubilionea.

Mara ya mwisho Wema A. Sepetu alikua gumzo, nilijiuliza kwa kazi gani ya "filamu" iliyomuwezesha kufungua Endless Fame??? Leo kiko wapi???
Namsifu AY, Prof J, Mr ll, Happiness Magese, Hasheem Thabit, Flavian Matata, John Mahundi, Balozi Dola Soul, Solo Thang, Rose Muhando, Masanja na Watanzania maarufu wanaofanya vitu vikubwa pasipo kujipigia upatu wala majisifu!
 
Kwa utajiri ashindane na Bakhressa.

Wasanii washinndane kwenye uwezo wao kwenye sanaa husika.
 
Tajiri hajitangazii. Ukishaona kijitu kinaanzaa kujinadii ujuee zakuunga ungaa. Wangap wana pesaa nawako kimyaa ingekuwaa kilaa tajiri ajitangazee basi vyombo vya habari vingepgaa hera sn. Wanajisifuu matajiri wakianzaa kuumwaa wanaanzishaa kampeni zakuchangishaa vihelaa vya matibabu. TAJIRI HAJITANGAZII
 
aaaahahahaaa ray sijamuona kitambo amekuwa mrembo
 
Kwa Kazi Ipi Ya Kuuza Sura Kwenye Luninga Ndo Aweze Kua Milionea
Ivi Mnazani Izi Ten Ten Nyekundu Zifike Mia Au Miatano Mnafanyaga Mchezo Nini Hela Ngumu Izi Jamani?
Mtu Unalipwa Ata Mshahara Au Biashara Lakin Mtu Uwe Na Milio Kumi Keshi Mnafanya Mchezo Nini?
Tusha Mzoea Ray Ni Mropokaji So Iwekawaida, Tusi Shangae?
 
Angekuwa tajiri angekuwa anaazima suti za watu na kutokomea nazo? Kuigiza kwenyewe hajui anafosi tu
 
Yaani nisivyopenda hao mastar wenu wa bongo kwanza apunguze carlo light. Mbona hatujamuona kwenye forb mjini kwenye we kaja na mbio za mwenge akafie huko
 
Back
Top Bottom