Ray Asema Yeye Ndiyo Msanii Tajiri Kuliko Wote Hapa Bongo

Ray Asema Yeye Ndiyo Msanii Tajiri Kuliko Wote Hapa Bongo

Tajiri!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! kama yy ni tajiri na wakina Bakhresa tuwaiteje ?????????
 
Cha msingi angetaja tu vitu anavyomilki sisi ndo tungefanya tathimini kama ni tajiri au maskini
 
Star wa filamu nchini Vicent Kigosi "Ray" amesema kuwa yeye ana pesa na mali nyingi na hakuna msanii yeyote wa Tanzania awe wa filamu au muziki anayemfikia sema hapendi tu kujitangaza kama baadhi ya mastaa wenzake akidai ni ulimbukeni. "hakuna msanii anayenizidi uwezo kuanzia mali na hata fedha niko mbali sana mimi, hata gari ninalotembelea hakuna msanii aliyenalo kama ingekuwa ni mtu wa kujisifusifu na kutafuta sifa za kijinga jamii ingejua" alisema star huyo wa filamu za Oprah, Sobbing Sound, Hard Price na Handsome Wa Kijiji akizungumza na gazeti moja.

Ray vile vile aliamua kurusha kombora kwa wabaya wake wasiopenda maendeleo yake kwa kusema "wanaongea sana majungu, fitina na vitu ambavyo havipo kuhusu mimi, mimi ni jembe, kwanini wasiangalie maisha yao? leo msanii unateta nae dakika hiyo hiyo anageuza maneno hayo kuwa majungu, acha nikae peke yangu nifanye issue zangu"

Wenzio walijudai hivo hivo lkn wsliumbuka huna lolote mzungu wa unga mpaka uumbuliwe?
 
Pesa ni kama Mimba. Haijifichi, Atuache tuone wenyewe maneno mengi hayana ishu
 
Jamaa ana mpunga kias chake maana nilisikia ana viwanja kam vinne kuna kimoj kipo bunju ndo anaporomosha mjengo, pia anamilik magar manne ikiwemo ile landcruiser

Bongo ukimiliki nyumba na vigari viwili, wewe tajiri !
 
TBS watusaidie hili maana viwango vya utajiri wa humu nchini havijulikani. Kesho khanga moja nao wakija wakisema matajiri itabidi tuwasikilize tuu.
 
Back
Top Bottom