last time nimecheki celebrities wa duniani matajiri niliona assets wanazo miliki. Ila sikuona magari, viwanja wala nyumba.
Hawa ndugu zetu wakae kimya kwani bado sana kujipa sifa ya ubilionea.
Mara ya mwisho Wema A. Sepetu alikua gumzo, nilijiuliza kwa kazi gani ya "filamu" iliyomuwezesha kufungua Endless Fame??? Leo kiko wapi???
Namsifu AY, Prof J, Mr ll, Happiness Magese, Hasheem Thabit, Flavian Matata, John Mahundi, Balozi Dola Soul, Solo Thang, Rose Muhando, Masanja na Watanzania maarufu wanaofanya vitu vikubwa pasipo kujipigia upatu wala majisifu!