Huyu rehema hajapona nawaambia.anatumia methadone ila ana tabia za kiteja full.kwanza bado anatumia crack na anakunywa pombe kali juu..halaf hataki kubadilika tabia anadhani methadone pekee itamponyesha.aisee wanaomjua huyu rehema watakubaliana na mm..ni mbabe,mshari,arrogant,mswahili sasa sijui ni mwanaume gani atakaeweza kuishi na huyu mtu.hayo yote aliyoandika ni akili ya unga tu bado hajapona na hatakaa apone km hajakubali kujielewa na kufata masharti kamili ya tiba ya methadone.ataendelea kunywa dawa tuu maana hata akishakunywa bado anakaa kwenye vijiwe vya mateja sasa ataponaje na kubadilika tabia?
my take...uteja ni kitu kibaya sana once ukishaingia kurudi kwenye hali ya zamani ni ngumu mnooooo