Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

Ray C afungua mlango kwa Mwanaume yeyote anayetaka kumuoa

Halafu mbona picha zake tu hapo juu kama za mdoli na masharti yote haya!!! Hata hapo kifuani pameshuka sasa vigezo vyote hivyo vya nini wakati huku kwetu uswazi unaoa mwanamke tangu amezaliwa hajawahi kufuta hata mara moja!!!!! Sembuse huyo muhaya katimiza wanaume hata mia moja halafu nae aweke masharti!!
 
Uyo bado hajapona au ndo docta kamwambia aongee ili ajue kama kapona.. Kumbe ndo bado kabisa
 
asubiri mume amalize kufanya upuuzi wote ambao yeye aliufanya kisha atamfuata.....masharti kibao ilhali ni screpa
 
Nafikiri wakati anaandika alikuwa bado hajanywa dozi yake ya Methadone .
Kwa mwili huo na kujichubua huko halafu mashart yote hayo...hivi nyie wanawake siku hizi mmerongwa?
Zamani ilikuwa mwanaume ndio anatoa mashart ya kuoa mwanamke , lakini siku hizi eti Mwanamke ndio anatoa mashart yake...

Wonder shall never end in Tanzaniaaa ohhhhhh!!
 
Mi nlivosoma na kuona eti anataka mwanaume amzalishe watoto wawili tena wa kike na kiume tu nikajua huyu IQ yake ndogo anajuaje kama ana kizazi? A hizo jinsia za watoto kazitoa wapi? Bado hajapona jaman tumsameheni
 
Huyu rehema hajapona nawaambia.anatumia methadone ila ana tabia za kiteja full.kwanza bado anatumia crack na anakunywa pombe kali juu..halaf hataki kubadilika tabia anadhani methadone pekee itamponyesha.aisee wanaomjua huyu rehema watakubaliana na mm..ni mbabe,mshari,arrogant,mswahili sasa sijui ni mwanaume gani atakaeweza kuishi na huyu mtu.hayo yote aliyoandika ni akili ya unga tu bado hajapona na hatakaa apone km hajakubali kujielewa na kufata masharti kamili ya tiba ya methadone.ataendelea kunywa dawa tuu maana hata akishakunywa bado anakaa kwenye vijiwe vya mateja sasa ataponaje na kubadilika tabia?
my take...uteja ni kitu kibaya sana once ukishaingia kurudi kwenye hali ya zamani ni ngumu mnooooo
 
Nikikumbuka huyu dada na music box yake kila jumamosi pale East Africa radio..... maisha bwana.....
 
..alikuwa mtoto wa kishua,maisha akayachezea
.jinsi alivyokuja kuwa,hakuna alietegemea!
...cheki maisha anayoishi sasa yanavyosikitisha!
#JayMoe
 
Teheeee teheee akate mgomba aweke ndani au amuumbe mwenyewe
 
Dah!
Mmemponda sana inatosho sasa mshaurini cha kufanya kwanza anastaili pongezi sababu kutoka alivyokuwa mpaka akakubali kushaurika na kupata dawa na bado akawa balozi mzuri wa kupinga madawa ya kulevya na ameshawishi wengi kupata dawa akiwa ni pamoja na Chid benz.

Jamani watanzania tuwe na haja moja la kupongeza ameonesha mfano mzuri tusiegemee sana kwenye persona interests zake make hatufikirii sawa kila mtu ana utashi wake na mtazamo wake lakini kwa jambo lenye maslahi mapana kwa jamii tulifikirie zaidi ya kujikita kwenye mambo ambayo ni yake binafsi.
 
"sifa" za mwanaume amtakae zina maslahi gani mapana kwa jamii?
Anza kwanza wewe kujikita kwenye mada iliyopo 'mezani!'
 
Majuto mjukuu. Mtajirudi wengi, Yetu macho.

Hamna kitu hapo, Scraper limepakwa rangi. Tehe

Na liwe fundisho kwa madada wengine, kuwa muda ni kitu muhimu sana, anza maisha wakati upo juu, lakini wengi wenu mnaamua kujirusha mpaka mnaanguka. Pole dada Ray endelea kutafuta unaweza kumpata.

Hilo suala la muda naonaga wengi mnalikazia sana ila mie hata halinisumbui.

Daaaah huwa naimagine maisha yangu bila pesa yatakuwaje ila huwa siwezi kukaa kufikiria maisha yangu bila mume yatakuwaje!

Pole yao wanaolilia waume eti kisa umri umeenda.....huwa siwaelewi!
 
Hongera zako.
 
Utakuwa umepigwa kibuti wewe.sio bure.
 
Back
Top Bottom