rr4
JF-Expert Member
- Mar 19, 2015
- 3,797
- 5,510
fanya experiment mkuu
Experiment ni kula unga wa ugali tu si coke mkuu. Na experiment kubwa niliifanya kwenye alcohol coz hakuna ambayo nimeacha.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
fanya experiment mkuu
Atakuwa kaugua dengue tena huyu si unajua akienda Mwananyamara wanakuta dengueMungu wangu!
Mdakuzi umeona sasa?
Nilisema mimi,zisipofanyika jitihada za haraka na dhati tutampoteza huyu.
Hivi kwa hali aliyofikia anaachiwa wa nini huyu jamani?
Si afungiwe ndani tu?
Sasa huko anakoshinda na mateja akizidiwa si wanajisevia watakavyo?
Jamani naumia hadi machozi yananitoka.
Ray C lifestyle uliyojichagulia inagharimu maisha yako sasa!
Kuna siku RayC alikuwa ana hojiwa kwenye television kwenye kipindi cha Mboni kama sijakosea alisema Lord eyes ndiye aliyemuingiza kwenye ulaji wa madawa!Usipende kusema usiyoyajua.
Lord Eyes hausiki,walikutana gari likiwa limeshawaka.
Hii point yako kama ningekuwa sijui hizo habari ningesumbuka kichwa sana sababu ya uwasilishaji wako.
Anyways, asante kwa kujazia nyama.
Atakuwa kaugua dengue tena huyu si unajua akienda Mwananyamara wanakuta dengue
Kuna uhusiano mkubwa kati ya virusi vya ukimwi na matumizi ya madawa ya kulevya.Ni kweli haya uyasemayo kumuhusu???
Duh.....ndio kawa hivi...!!!!
Ruttashobolwa....Kuna siku RayC alikuwa ana hojiwa kwenye television kwenye kipindi cha Mboni kama sijakosea alisema Lord eyes ndiye aliyemuingiza kwenye ulaji wa madawa!
Anasema Mama yake alimkanye sana lakini hakusikia..alisema Lord eyes alikuwa anamuwekea kwenye vinywaji.
Teh Teh...Ruttashobolwa....
Naomba usifanye ligi na mimi katika hili please.
Mimi ninachokisema hapa nina uhakika 100%
Sijasikia kwenye vyombo vya habari, (hili Ray C hawezi kusema ukweli hata iweje) ni kupitia chanzo cha kuaminika ndani ya familia yake.
Mbona huwa anakataa hajarudia madawa ya kulevya?
Mtu kama huyo unamuamini vipi?
Hivi hujajifunza ulipoleta ligi na mimi kuhusu Ben Pol?
Mwisho ukasanda mwenyewe?
Mimi huwa sisemi vitu nisivyovijua,asante.
Ina maana keshapona kutoka hospital?
Mh! Blood transfusion gharama yake sio ya kitoto lakini.madawa bado yapo kwenye damu yani kama ikiwezekana atoe damu aweke nyengine aisee ile kitu ya alosto bado inamuandama na hiv ameacha kunywa methadone ndo kabisaaaa . ndugu zangu msijaribu hata kutest pafu moja coz hutaacha kurudia sababu ya utamu wake