Chimunguru
JF-Expert Member
- May 3, 2009
- 10,678
- 4,370
jamaa asije akaongeza wife!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
asigwa NO!Give credit where it is due....even JESUS though was able to raise all the dead people but he did only to three persons
Kilichoniacha mdomo wazi katika tukio hilo ni jinsi JK alivyokuwa anatabasamu wakati anafagiliwa na Ray.
Hakika lile tabasamu la mkuu wa nchi ni nadra, sielewi aliguswa na nini hadi kuwa na furaha ya aina ile.
Hongera JK kwa tabasamu mwanana.
NA WALE WENGINE WANAOJAZANA VITUO VYA MAGARI WATIBIWE NA NANI!
HUU UMAARUFU BEI RAHISI HUU!UNAZIDI KUKUCHAFUA KULIKO KUKUJENGA !
wasio na majina wanatibiwa nani?
Kilichoniacha mdomo wazi katika tukio hilo ni jinsi JK alivyokuwa anatabasamu wakati anafagiliwa na Ray.
Hakika lile tabasamu la mkuu wa nchi ni nadra, sielewi aliguswa na nini hadi kuwa na furaha ya aina ile.
Hongera JK kwa tabasamu mwanana.
Watanzania akili zao zinanichekesha sana ...Kikwete katoa kama msaada personal....swali la kujiuliza wewe umewahi saidia wangapi??? Hiyo pesa aliyotoa Kikwete ni kubwa sana mpaka wewe ikushinde kutoa??? Give credit where it is due......asigwa NO!
WASIO NA MAMA WADOGO WAKUU WA WILAYA WANATIBIWA NA NANI?
wasio na majina hapa wanatibiwa wapi
hiki kizazi kinachoangamia kila siku kwa ajili ya madawa ya kulevya kinatetewa na nani?