Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

Siku zinazidi kwenda kikwete bado hajuai Rais wa nchi anavyopaswa kufikiria na anavyotenda,ikiwa wapo watu wana tatizo linalofanana nawe unataka kusaidia mtu smart ataenda zaidi kwa kujenga mfumo wa ku accomodate tatizo hilo je Akitokea junky mwingine this time let say wa kiume akajitokeza hadharani will he make a move?
 
Hatimaye baada ya Ray C kuteseka kwa muda mrefu bila kupata mtu wa kumfadhali hela ya matibabu hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ajitosa kumfadhali. Akiongea katika viwanja vya Ikulu Ray C amemshukuru Rais Kikwete kwa moyo aliouonyesha wa kumsaidia matibabu na sasa hivi anaendelea vizuri.

SWALI:
1.Rais Kikwete ametambua sasa madhara ya madawa ya kulevya, Je, atawachukulia hatua sasa wote wanauzia madawa ya kulevya maana kuna tetesi kuwa anayo majina ya DRUG DEALERS?
2. Je, ni Ray C tu mwenye aliyekumbwa na tatizo la kuwa TEJA? Watanzania wengine tena nguvu kazi kubwa ambayo imeshadhirika na madawa ya kulevya ana mpango upi wa kuwasaidia? Ama wao hawastahili msaada?

AIDHA; Nampongeza Rais Kikwete kwa moyo wake wa kumuokoa Mtanzania huyu " RAY C" maana angepotea na talent yake ya uimbaji.

Nimemuona I.T.V akiwa na mama yake pamoja na mh,rais swali mh,rais vipi mateja wengine pia ambao hawanauwezo wa kupata matibabu hayo?lkn tunashukulu kwa kumsadia natumaini siku si nyingi kiuno bila mfupa kitakuwa available!!!!!majukwahani.
 
Umezeeka kupitiliza mbuzi..sasa hapa ndiyo umeeleza nini?yani ni kama vile tulikuwa tunaangalia tv wote halafu unatukumbushia tu hapa..
 
JK huyo huyo alimtosa "jela mtagwa" alipooba amsaidie
 
Watanzania, hata wafanya biashara mbalimbali duniani hurudisha faida kwa wateja wao kwa njia ya promotion.
FUNGUA AKILI
 
Kwa jinsi vijana wa Bongo movie wanavyopigana 'dry' atasaidia wengi sana mwaka huu
 
Watanzania akili zao zinanichekesha sana ...Kikwete katoa kama msaada personal....swali la kujiuliza wewe umewahi saidia wangapi??? Hiyo pesa aliyotoa Kikwete ni kubwa sana mpaka wewe ikushinde kutoa??? Give credit where it is due......

kuwasaidia niliowasaidia ni pamoja na kutokusema kama nimewasaidia maana hainisaidii mimi wala huyo niliyemsaidia!
kama ameitoa personal kwanini ikulu itumike!kwanini vyombo vya habri vya kitaifa vitumike?kama watanzania unaowaaminisha hapa ni wenye akili za aina yako basi ni kweli zinachekesha sana!
sina tatizo na ray c kama mwathirika wa madawa ya kulevya!
anayenishangaza ni huyo anayetaka kutumia madhara makubwa kabisa wanayopata vijana kujitangaza!
hili ndilo tatizo langu!kama wewe bado hujaliona inategemea una uwanda upi wa kufikiri kwa kiwango chako cha hali ya juu kabisa!
 
Mmh hii siyo ya dhamani lakini. Na kwanini afanye upendeleo kwahuyu wanaohitaji msaada wengi.
 
Mkuu kivipi?

Au naye ni vick kamata mwingine!!!!!!
 
mkuu, na mimi ndo swali nimebakia nalo. Kumsaidia ray c sawa kafanya vizuri, je mateja wengine wao hawahitaji msaada wake pia. Kwa nini basi asifungue centre ya kuwsaidia hawa waadhirika ikiwa ni pamoja na kuzuia na kuwachukulia hatua wote wanaoingiza hayo madawa?

waswahili bwana na misemo yao eti bahati ya mwenzio .....
 
basi ray c alikua haumwi. Alikua ana tekeleza mpango wake kabambe wa kurudi juu.
REHAB ya mwezi!!!!!!!! Sijawahi kuona aise.
Ili igizo linaweza kumtoa
 
Ray C nae! Angekuwa na akili angemuambia

"Nashukuru sana kwa msaada wako baba riz one, ila naomba uwataje kama ulivyo ahidi kuwa unawajua wauza madawa ya kulevya na kuwashughulikia ili wale wenzangu ambao nao wameathirika watambue juhudi zako, lakini pia nao uwape msaada kama mimi"

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

Ajiangalie yasije yakamkuta ya AMINA CHIFUPA.
 
Watu bana wewe ulitaka rais amwage machozi.

Mkuu

Mimi nilitegemea kama mkuru wa nji hii angetoa walau kaamri kwa kila mkowa lazima watoto yatima na hao mateja wanapata center maridaadi chin ya usimamiz wa wakuu wa mikowa.

Sio tu kutoa agizo, pia kama rais ahakikishe vichwa hivyo vinapata huduma bora za matibabu na elimu, who knows tunaweza pata obama humo.

Yeye (kikwete) amefanya kulenga, tatizo letu mkuu amelenga mtu maarufu kiasi chake, je huku mwananyamala na kule bunju nani atatuona?
 
Hatimaye baada ya Ray C kuteseka kwa muda mrefu bila kupata mtu wa kumfadhali hela ya matibabu hatimaye Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ajitosa kumfadhali. Akiongea katika viwanja vya Ikulu Ray C amemshukuru Rais Kikwete kwa moyo aliouonyesha wa kumsaidia matibabu na sasa hivi anaendelea vizuri.

SWALI:
1.Rais Kikwete ametambua sasa madhara ya madawa ya kulevya, Je, atawachukulia hatua sasa wote wanauzia madawa ya kulevya maana kuna tetesi kuwa anayo majina ya DRUG DEALERS?
2. Je, ni Ray C tu mwenye aliyekumbwa na tatizo la kuwa TEJA? Watanzania wengine tena nguvu kazi kubwa ambayo imeshadhirika na madawa ya kulevya ana mpango upi wa kuwasaidia? Ama wao hawastahili msaada?

AIDHA; Nampongeza Rais Kikwete kwa moyo wake wa kumuokoa Mtanzania huyu " RAY C" maana angepotea na talent yake ya uimbaji.

Wanajamii, kuna anayejua uwepo wa rehabilitation/counceling centre Dar kwa watumiaji wa madawa ya kulevya. Mwenye kujua naomba details nimpeleke kijana aliyezidiwa na bangi. Thanks kwa taarifa
 
ONCE a junkie,always a junkie no matter what eg Withney Houston
Mkuu usiseme hivyo ... inawezekana kabisa mateja kutibiwa na kurudi kwenye maisha ya kawaida.
Hivi kila kitu ni siasa? Kila kitu ni CCM againstg CDM? ....
Dude get a life!!
 
Back
Top Bottom