Mkubwa,
Hii ni 100% politics, tena ccm politics.
Haiwezekani state house, with all its metal hands, kutoka kupiga pichA YA KUTOA TIBA KWA MWANANCHI MMOJA, wakati maelfu ya wagonjwa wengine wanakufa jirani na ikulu pale kwa kukosa dawa-mseto!
After all Ray C sio less privileged, ana nduguze wenye uwezo wajuu ambao Ikulu hiyohiyo imewawezesha!...this is just like draining a pond down to the sea!
All ican say ni kwamba rais huenda yuko likizo, na hakuwa na jambo la msingi la kufanya ndani ya siku ya leo!.. halafu alichokosea ni kwamba katika tukio la masikitiko vile alikuwa anatabasmu too much, hii inaonyesha kuwa nia yake ilikuwa ni photogenity zaidi ya tukio!
Nafananisha hili na mtu anayelia kuliko wafiwa!