Donnie Charlie
JF-Expert Member
- Sep 16, 2009
- 16,908
- 19,123
ilikuwa pia wakati muafaka wa kutaja yale majina aliyopelekewa ya wafanya biashara hiyo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nikunong'oneze "Rais wetu ni mzandiki, anapenda sifa za kijinga."NI JAMBO JENA ALILOFANYA MH.RAIS LKINI SWALI NI JE VP NA WALE WENGINE AMBAO KWANZA KUKUONA TU WANAISHIA PALE KWENYE GETI KAMA UMEGUSWA NA HALI YA MAZARA YA MADAWA YA KULEVYA KWA NINI USIFUNGUE TAASISI ITAKAYO SHUGULIKIA MATATIZO HAYO NA KUWASAIDIA WATU WENGI KULIKO HV MMOJAMMOJA TENA HAO NI WALE WENYE FULSA YA KUTANGANZWA NA MAGAZETI KWA VILE NI WATU MAARUFU MHESHIMIWA RAIS EBU ONE DAY PITA MAENEO YA KINONDONI MANYANYA UJIONEE VIJANA GUVU KAZI YA TAIFA WALIVYOASILIKA KAMA ALIVYOKUWA Ray c nao wanaitaji matibabu.
nataka kujua
hivi kuingia ikulu kumwona rais kuna utaratibu gani?
yani mimi tu na kaptura langu la maxi naweza kwenda na kusema nataka kumuona rais?na kupiga nae picha?na kushikana nae mikono?
au mpaka na mi niwe teja?
au mpaka na mimi niwe na mama mdogo mkuu wa wilaya?
au mpka na mimi niwe na baba mdogo kocha wa timu ya taifa ya wanawake?
au mpka na mimi niwe kiuno bila mfupa?
au mpaka na mimi nitangazwe kuwa nahitaji msaada?
au mpka na mimi niwe MSANII?
au mpaka na mimi niwe .....................................
nawaza kwa sauti tu jamani!
Ngoja nikunong'oneze "Rais wetu ni mzandiki, anapenda sifa za kijinga."
Jamani jamaa kamsaidia msanii mwenzie halafu kuna kitu inaitwa sijui ni payback yaani baada ya kufanya biashara unarejesha kiasi fulani kwa customers wako kama kifuta jasho
Tanzania zaidi uijuavyo.........?????!!!!!!
Ndugu wa jf,sio siri nchi yetu inaudhi,ukipita mitaani utakutana na rundo la vijana wakisinzia kwa sababu ya madawa ya kulevya,awa awana ndugu,awana kipato,wala awana elimu yoyote,no body cares,jana kwenye taarifa ya habari nilimuona mh, kikwete akifanya promosheni ya wema wake kwa kumtibia rayc,Rayc huyu si maskin,nimsomi anandugu wa kumjali lakin mh,aliona inafaa kuwaacha majority walioko mitaa na kukimbilia kumtibu mtu aliye zuzuka kwa amaarufu wake,Nlitegemea kama kweli janga ili limemgusa mh,basi angetafuta namna ya kupunguza upatkanaji wa hawa madawa nchni kwake, si aibu aloifanya ya kumtibia mtu mmoja na kuwaacha wengne tena walio wengi!kama mh,angekua na wema wakutosha angeanza na wanawe,mwanae miraji yuko addicted na pombe kwakua anajua kwa hlo awezi pata sifa kachuna,hvo hvo kwa ridhiwani,nifisadi kuliko kijana yoyote yule hapa tanzania nae pia kamchunia,mwanae wa kike mwnaasha kapiga div 4ya mwshomwsho pia kachuna(a good family makes a better nation),hi yote inaonesha mh,alivo na malezi ya ovyo kabisa asi fake kwa wema asokua nao, namshauri kikwete janga la madawa ya kulevya aliangalia kwa mapana na sio kututania kwa kutafuta sifa za mda mfupi.sifa za muda mfupi ni sifa za kijinga.
I do not buy this cheap popularity kwa RAIS! Who is Ray C? Rais si kwa mambo madogo kama hayo, huyu nasikia alikuwa anakula madawa ya kulevya, wangapi wanayatumia na amewasaidiaje. Mimi sioni kama ni habari hii ya maslahi ya taifa mapaka ipeewe uzito huu. Achana na wahuni Rais, we ni mtu mkubwa kwa mambo makubwa
Kikwete is among few presidents that will be remembered as a laughing stock by many tanzanians for many years to come.
Anafanya mambo ambayo hata rafiki zake wa karibu hawakutegemea hayafanye.
Ingekuwa bora kama angemsaidia kimya kimya kuliko kufanya kitu public kwani kuna wa tz wangapi wamekuwa affected na madawa na je kawasaidiaje kama raisi.
Anyway kikwete ponda mali 2015 yaja chances never come twice
ni msanii PASEEE! yaani hakuna doubt!Hii comment imenichekesha Wallah maana niliamka na stress
sasa nimehamini hayo maneno yako kwenye mabano ha!ha! Baada ya kumkumbuka yule mama niliekuwa namuona i.t.v akisumbuliwa na mguu hv jk,alichangia kweli sam mahera kama uko humu ebu tuambie maana wewe ndo ulikuwa unakusanya michango.jina la mungu wa majeshi lihimidiwe! Jk nanikosha hapo tu, kuwajali wasanii!! (watu wenye taaluma kama yake))!
Naona unaanzisha thread halafu unajijibu mwenyewe!!
Tatizo ni kutumia wadhifa alionao,ofisi tukuka ya umma,chombo cha walipa kodi kimetumika pia kama anafanya publicity vile,au anajaribu kugain sympathy ya kundi fulani la watu.
Vitu vile wangefanya wanaotarajia kugombea Urais sawa.[/QUOTE
Kwani alomsaidia Ray C ni Ikulu kama taasisi au JK kwa utashi wake?; Je kwanini tusichelee kudhani kuwa Ray C na Mamaye ndio waloomba kwenda kuonana na JK ili kutoa shukrani zao kwa msaada walopata?