Ray C amtembelea Rais Kikwete Ikulu jijini Dar, amshukuru kwa msaada wa matibabu!

ilikuwa pia wakati muafaka wa kutaja yale majina aliyopelekewa ya wafanya biashara hiyo
 
nataka kujua
hivi kuingia ikulu kumwona rais kuna utaratibu gani?
yani mimi tu na kaptura langu la maxi naweza kwenda na kusema nataka kumuona rais?na kupiga nae picha?na kushikana nae mikono?
au mpaka na mi niwe teja?
au mpaka na mimi niwe na mama mdogo mkuu wa wilaya?
au mpka na mimi niwe na baba mdogo kocha wa timu ya taifa ya wanawake?
au mpka na mimi niwe kiuno bila mfupa?
au mpaka na mimi nitangazwe kuwa nahitaji msaada?
au mpka na mimi niwe MSANII?
au mpaka na mimi niwe .....................................
nawaza kwa sauti tu jamani!
 
Ngoja nikunong'oneze "Rais wetu ni mzandiki, anapenda sifa za kijinga."
 

kufamianalaization!!!!ha!ha!
 
Kikwete is among few presidents that will be remembered as a laughing stock by many tanzanians for many years to come.
Anafanya mambo ambayo hata rafiki zake wa karibu hawakutegemea hayafanye.
Ingekuwa bora kama angemsaidia kimya kimya kuliko kufanya kitu public kwani kuna wa tz wangapi wamekuwa affected na madawa na je kawasaidiaje kama raisi.
Anyway kikwete ponda mali 2015 yaja chances never come twice
 
Ndugu wa jf,sio siri nchi yetu inaudhi,ukipita mitaani utakutana na rundo la vijana wakisinzia kwa sababu ya madawa ya kulevya,awa awana ndugu,awana kipato,wala awana elimu yoyote,no body cares,jana kwenye taarifa ya habari nilimuona mh, kikwete akifanya promosheni ya wema wake kwa kumtibia rayc,Rayc huyu si maskin,nimsomi anandugu wa kumjali lakin mh,aliona inafaa kuwaacha majority walioko mitaa na kukimbilia kumtibu mtu aliye zuzuka kwa amaarufu wake,Nlitegemea kama kweli janga ili limemgusa mh,basi angetafuta namna ya kupunguza upatkanaji wa hawa madawa nchni kwake, si aibu aloifanya ya kumtibia mtu mmoja na kuwaacha wengne tena walio wengi!kama mh,angekua na wema wakutosha angeanza na wanawe,mwanae miraji yuko addicted na pombe kwakua anajua kwa hlo awezi pata sifa kachuna,hvo hvo kwa ridhiwani,nifisadi kuliko kijana yoyote yule hapa tanzania nae pia kamchunia,mwanae wa kike mwnaasha kapiga div 4ya mwshomwsho pia kachuna(a good family makes a better nation),hi yote inaonesha mh,alivo na malezi ya ovyo kabisa asi fake kwa wema asokua nao, namshauri kikwete janga la madawa ya kulevya aliangalia kwa mapana na sio kututania kwa kutafuta sifa za mda mfupi.sifa za muda mfupi ni sifa za kijinga.
 
Jamani jamaa kamsaidia msanii mwenzie halafu kuna kitu inaitwa sijui ni payback yaani baada ya kufanya biashara unarejesha kiasi fulani kwa customers wako kama kifuta jasho
Tanzania zaidi uijuavyo.........?????!!!!!!

Ah Clarity , visa hivyo sasa na tuhuma juu yake. kwani ilibidi tujue?
 
Last edited by a moderator:

Ndilo tatizo la JK, cheap popularity! Wanaomshauri hawafai. Naye ndio hivyo, mambo ya aibu kwa rais wa nchi!
 

Mkuu upo saw ndo mambo ambayo rais wetu mtukufu anayoyaweza . rais wetu ni wa mambo madogomadogo kama haya. dar kuna mateja kibao yeye kamuona Ray C tu?
 

Yaani ni wa kumwangalia na kumwacha hivyo hivyo..
 
jina la mungu wa majeshi lihimidiwe! Jk nanikosha hapo tu, kuwajali wasanii!! (watu wenye taaluma kama yake))!
sasa nimehamini hayo maneno yako kwenye mabano ha!ha! Baada ya kumkumbuka yule mama niliekuwa namuona i.t.v akisumbuliwa na mguu hv jk,alichangia kweli sam mahera kama uko humu ebu tuambie maana wewe ndo ulikuwa unakusanya michango.
 
Hongera Rais wangu, Jembe la ukweli,kondoo mmoja liepotea ni bora kuliko mia walio baki,
watu walikuwa wakimbeza na kumzalilisha hata kumtangazia kuwa kafa huyo RAY C
wanadamu sijui kwa nini tunapenda wenzetu yawakute mabaya
 
 
This President is Bull Shit...

Juzi hapa niliona Star TV watoto wa shule ya secondary Mwanza wanachangishana fedha kumpeleka mtoto mwenzao India akatibiwe kibofu cha mkojo maana mkojo unatoka wenyewe, wakapata milioni moja wakati zinahitajika milioni 20. Dogo akarudi home, anaendelea kuteseka wakati milioni 19 zinatafutwa. Serikali ipo, JK yupo kakaa kimya...

Leo hii TEJA lililotengeneza MAMILIONI ya pesa kupitia biashara ya muziki na filamu na mshahara wa utangazaji likatumia zote kubwia unga, tena bila hata kulipa kodi yoyote, linatibiwa na hela za kodi zetu, teja hilo linaingia Ikulu na Mwandishi wa habari wa rais anatumia muda ambao analipwa na kodi zetu kutoa taarifa kwa vyombo vya habari kuhusu hilo teja linalotibiwa. Huyu rais ni janga la kidunia. Hivi wale akina mama wanaolala wanne pale Mwananyamala wakati wa kujifungua nao rais wao ni huyuhuyu? Huyu rais huenda ni FREEMASONRY....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…