Ray C: Nitapambana na Global Publishers Mahakamani

Kuna kaumri mwanaume. akifika anakuwa handsome Zaid.... Kautu uzima flani hivi...
Alikuaga hendisamu [emoji14]
 
Gpl ni jipu..na shigongo naye...huwa ni mwanaume sutuali
 
pole yake ingawa ukweli anaujua yeye mwenyewe Ray C. kama ni uongo awapeleke tu mahakamani hakuna jinsi
 
Alikuaga hendisamu 😛
ni kweli,na madada na mashangazi yalikuwa yanamshibokea sana misambano,yani huyu jamaa alikuja kuwafunika kina Ally Star,Seif Kisauji,Mustapha Ramadhani nk...kitu cha "Asuu"kiling'arisha sna nyota yake.
 
ni kweli,na madada na mashangazi yalikuwa yanamshibokea sana misambano,yani huyu jamaa alikuja kuwafunika kina Ally Star,Seif Kisauji,Mustapha Ramadhani nk...kitu cha "Asuu"kiling'arisha sna nyota yake.
Macho yake sijui alikua anakula kungu mmh 😛😛
 

Attachments

  • images (24).jpg
    9.7 KB · Views: 33
Umaarufu ni kama harufu, ikinukia utapenda, ikinuka sasa weee!
 
Sorry mkuu niliandika kwa ajili ya candy ....
 
Hao hao Global ndo waliofanya rais JK amwonee huruma na kugharamia matibabu yke
 
mb dog na ule ufupi wake si anamfikia nancy kiunoni?
 
Na wewe Ray C badirika acha tabia zako chafu za kula Unga ona sasa hakuna anayekuthamini tena ushawaumiza mpaka ma best zako,usione kitu mbele yako haki unatisha.
 
Cha maana nilichopata ni msamiati mpya Usengwile
 
Hawa GPL sijawahi kuwaelewa na sitakaa niwaelewe ni waongo waliopitiliza
 
Kuna mtu anafanya kazi kwenye kusaidia watumia unga...alinambia wengi wa watumia dawa za kuacha unga wanaendelea kutumia unga kama dawa ndio maana hawapati mafanikio...
Na akanipa mfano wa mtu aliyekufa kwa sababu ya overdose...kuchanganya cocaine na methadone....na tatizo liko kwa watoto wa kike sababu wao wanaamua kutumia methadone wanaume zao wanagoma....as long as wapo pamoja akirudi home toka hospital jamaa anampa cocaine kama kawaida...
 
Shigongo ni JIPU.
 
Ha
mb dog na ule ufupi wake si anamfikia nancy kiunoni?
Hahahahahaaaaa,mkuu umenifanya nicheke baada ya kujenga picha dogg man akiwa kasimama na mtoto mzuri nancy...ila ufupi sio ishu mradi wangekubaliana tu. Height is nothing but mere foots!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…