Aniko
JF-Expert Member
- Jan 3, 2016
- 1,766
- 960
Thibitisha unachoongea usiwe kama Global maneno yasiyo na ushahidi hayana maana hapa kama na ww uko huko global tuambie.Ray C anazingua tu. Bado anabwiya maunga kama kawa. Hata kama Gobal publisher ni wazushi lakini hii ya Ray C ni kweli bado anakula ngada