Ray C wa sasa hadi huruma

Mmmnh! C alikua muelimishaji huyu? Imekuaje tena... Au kakutana na bwana mtumiaji??? Pole yake...
 
Msoma umbea...na anayeandika umbea...wote wambea.......

Kijana wa mkoani uliyekuwa busy na shughuli za kilimo hasa msimuu huu wa mvua.... unakuwaje wa kwanza kuchangia uzi unaouita kuwa ni wa kimbea....???
 

Mkuu, umemaliza kila kitu,
Ova Ova.
 
Hiyo njia unapita hiyo mida kwa ajili ya kumuangalia ray c au inatokea tu maana mpaka maswala ya hospital unayafahamu. Wanaume wa dar kwenye ishu za umbea mpewe tuzo kwakweli.

Pole sana. Mzazi wako anajua ana mtoto wa kiume. BTW huku Dsm wafanyakazi wa wizara ya elimu kila siku wanajionea rais anavoingia na kutoka pale Magogoni. Wee msubiri akija ziara shamba au mbugani kutalii!
 
Habari wakuu.
Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C[emoji26] [emoji26]
Yesu njoo Tu, dunia imetushinda huku
 
Habari wakuu.
Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C[emoji26] [emoji26]
Mungu pitishia mbali huu upepo katika kizazi changu
 
Hiyo njia unapita hiyo mida kwa ajili ya kumuangalia ray c au inatokea tu maana mpaka maswala ya hospital unayafahamu. Wanaume wa dar kwenye ishu za umbea mpewe tuzo kwakweli.
Na nyie wa mashambani MNA matatizo, huku kwenye Uzi huu kimewaleta nini kama hamko interested na kupata news za Dar?
 
Kachagua mwenyewe. ..angekuwa analishwa ngada na mtu. ..hapo ningesikitika.

Ndio madhara ya kuwa na jina kubwa alafu dili/hela inapiga chenga wanapata STRESS..wanabugia ngada.

Hii kitu itaendelea kuwasumbua hao wasanii wapiga picha na magari, nyumba na vitu vya watu.
 
Hiyo methodone haiwezi kumtibu mtu akaacha, maana ni kama mbadala wa huo unga, akipata hiyo dawa mwili unapoa kama kala unga, dawa ikiisha inataka tena dawa so inakuwa dawa baada ya dawa akikosa anakuwa na arosto mbaya sana, tiba sahihi kwa Ray c ni kumpeleka rehab akakae huko bila dawa bila unga arost zote ziishe mwilini, apatiwe elimu ya kuacha kabisa hayo madawa dnio itakuwa pona yake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…