KHAMISsecret
Senior Member
- Sep 22, 2011
- 178
- 66
Mmmnh! C alikua muelimishaji huyu? Imekuaje tena... Au kakutana na bwana mtumiaji??? Pole yake...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahahaWanaume wa mikoani mna swagga....
Yaani mko kwenye uzi wa rayc halafu mnajifanya hamjadili
Ray C akinywa Methadone kwa ukamilifu ni lazima anenepe kama alivyokuwa akionekana baada ya kuanza kunywa dawa.
Alipokunywa dawa kwa mwaka wa kwanza alionekana anaendelea vizuri kiasi cha kuonekana anaweza kumaliza tiba kwa miaka miwili.
Sasa alipokuwa kwenye mwaka wa pili ndio alipoanza kujichanganya na mateja, hasa alipofungua mgahawa wake Mwananyamala.
Yanayomtokea Ray C ni mambo ya kuumiza sana, na hataki kuwa mkweli kama alianza uteja alipoanza kuwa punda na TID, hata Lord Eyes alimkuta akiwa teja.
Na kwa bahati mbaya mara zote akianza tiba hulazimishwa, haamui mwenyewe kwa hiari yake.
Hakuna siri tena yeye teja kwa mara nyingine tangu alipoacha mazoezi na alipoanza kupungua unene wake, kwani unene ule ulikuwa wa side effects za Methadone.
Kwa hivi alivyopungua ilitokana na kurudia matumizi ya dawa za kulevya kwa mara nyingine.
Kwa msioijua hii ni mara yake ya tatu kurudia uteja na kukatiza dozi ya tiba, alishatibiwa Arusha na Nairobi.
Na mbaya zaidi mateja wenzake ndio waliompiga hizi Picha na kuziuza kwa Shigongo.
Katika hili Shigongo kaandika ukweli mtupu, coz kuna mtu wa familia ya Ray C anampa hizi habari.
Kuna mtu anaitwa Mama Derick ambaye ni mke wa kaka yake Ray C anayeishi China ndiye anayempa habari zote za Ray C.
Mama Derick anaishi hapa huku mumewe akiwa China, na uhusiano wa kimapenzi na Erick.
Kwa bahati mbaya Ray C hawaivi na huyu wifi yake, tangu walipogombana na Ray C kumtupa ndani wifi yake kwa siku mbili.
Mimi simuonei huruma tena.
Ova
Hiyo njia unapita hiyo mida kwa ajili ya kumuangalia ray c au inatokea tu maana mpaka maswala ya hospital unayafahamu. Wanaume wa dar kwenye ishu za umbea mpewe tuzo kwakweli.
Duuuh. Ndo yuko hivi,
Daaaah[emoji26] [emoji26] [emoji26]
Uyu ni teja kabsa.. Wala akuna ubishi...
bora useme wewe dada tukisema sisi wanaume tunaonekana tunajiteteaWanaume wa mikoani mna swagga....
Yaani mko kwenye uzi wa rayc halafu mnajifanya hamjadili
Yesu njoo Tu, dunia imetushinda hukuHabari wakuu.
Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C[emoji26] [emoji26]![]()
![]()
![]()
Ahaaahaaaaa [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Yesu njoo Tu, dunia imetushinda huku
Mungu pitishia mbali huu upepo katika kizazi changuHabari wakuu.
Dah nimeona hizi picha za ray c zimenisikitisha sana hivi hii kitu ina nini mbona inakuwa ngumu kuacha ...daaah maskini Ray C[emoji26] [emoji26]![]()
![]()
![]()
picha za mwaka 2010 hiziHizi picha za kitambo sana
Na nyie wa mashambani MNA matatizo, huku kwenye Uzi huu kimewaleta nini kama hamko interested na kupata news za Dar?Hiyo njia unapita hiyo mida kwa ajili ya kumuangalia ray c au inatokea tu maana mpaka maswala ya hospital unayafahamu. Wanaume wa dar kwenye ishu za umbea mpewe tuzo kwakweli.