Ray C wa sasa hadi huruma

Kama kweli karudia kutumia itakuwa Ni suala la muda tu!
 
Halafu shigongo akimwandika anakasirika kumbe kweli karudi, dah babu tale mchukue na huyu aisee
 
Mungu amsaidie tuu kuacha unga ni kazi sana. kupata tiba ya addiction bila kufwatilia ni kazi nyingine.
 
Kuna mtaalamu mmoja alinambia kuwa tatizo la mateja wanaotumia Methadone wengi wao wanachanganya na madawa...
Sasa na yeye kama anafanya hivyo anajiweka hatarini...
maana nilimuuliza mbona hiyo methadone watu wanatumia tuuuu....bila kikomo...
Akasema wana chiti...wanachanganya na madawa yao...alinipa mfano wa girlfriend wa Chidi Benz kuwa yuko kwenye methadone lakini kwa kuwa alikuwa bado na Chidi alishindwa kuacha madawa...akawa ana mix both....

Mungu tusaidie kulea hawa watoto...na wauza sembe walaaniwe ...
 
Acheni kumchafua Ray C,ameacha madawa ya kulevya zamani sana.Nyie ni wauza unga nini inawauma alivyoacha na alikuwa anawaingizia hela nyingi kila siku kumkatisha tamaa ili arudie?
Najua ni ngumu sana kuukubali ukweli huu, naomba nikuambie kwa herufi kubwa na ikukae akilini:
RAY C AMERUDIA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA
 
Ray C hayupo Hivo kwa sasahivi hizo ni picha za siku nyingi watu kwa kuchafua hawajambo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…