Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa kugombania soda mpo kumbeHey men of Dar-es-salaa at your level best come here there is a discussion about RAY-C's life
Kumbe wanaume wa dar ni wambeaWanaume wa dar njooni basi tumjadili Rayc
Kweli.....!!! Basi tuombeane uzima.Mkuu kuna vifo vya kujitakia
Mkuu punguza ukali wa maneno[emoji85] [emoji85] [emoji85]Mademu mengine ya kuyafira tu, usenge mwingiiii.. Umesaidiwa bado unajiendekeza
Sawa mamitoh..Mkuu punguza ukali wa maneno[emoji85] [emoji85] [emoji85]
Jaribu mkuu uje kutuambia..[emoji12] [emoji12]Hivi hayo madawa huwa wanapata raha gani kuyatumia?
Una bahati, nilitaka kukupa jibu hiloo, sema ww ni familia yangu, na like nimekupaWe ni mwanaume wa dar au mikoani?
Huyu mdada binafsi simuhurumii, hajitambui. Anabahati sana ndio maana habahatikiRay C nae hajihurumii
Najua ni ngumu sana kuukubali ukweli huu, naomba nikuambie kwa herufi kubwa na ikukae akilini:Acheni kumchafua Ray C,ameacha madawa ya kulevya zamani sana.Nyie ni wauza unga nini inawauma alivyoacha na alikuwa anawaingizia hela nyingi kila siku kumkatisha tamaa ili arudie?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Najua ni ngumu sana kuukubali ukweli huu, naomba nikuambie kwa herufi kubwa na ikukae akilini:
RAY C AMERUDIA KUTUMIA MADAWA YA KULEVYA
Mwanamke wa mikoani katika ubora wako.Wanaume wa dar katika ubora wao
Anaendekeza starehe zisizo na msingiHuyu mdada binafsi simuhurumii, hajitambui. Anabahati sana ndio maana habahatiki
Weka picha za sasa mkuu...Acha siasa!Ray C hayupo Hivo kwa sasahivi hizo ni picha za siku nyingi watu kwa kuchafua hawajambo.