Ray Kigosi atangaza kupata mtoto wa pili akiwa Bado anaishi kwao

Ray Kigosi atangaza kupata mtoto wa pili akiwa Bado anaishi kwao

Sishangai wagogo ndo walivyo ray ni mgogo kuna nyumba nilipanga huko kuna jamaa alipanga chumba na sebure na yupo na mke na watoto mama yake alikuwa anaumwa akaja DSM akafikia kwa jamaa chumba na sebure hapo alitibiwa akapona ila akawa kahamia mazima kuludi home kwao dodoma hataki nilipanga pale miaka 4 mpaka nahama yule mama bado yupo
 
Wewe angalia michezo yake aliyoifanya miaka ya 2000 ,alikuwa Big mwili mkubwa anaweka hadi Wave ,sasa just imagine imepita miaka zaidi ya 25 halafu useme ana miaka 42 maana yake pale alivyokuwa anaigiza mkewe ni Thea alikuwa na miaka 17?
Acheki hata ule wimbo wa lady jaydee wa Siri yangu, ulitoka kama sikosei mi 99 jamaa alikuwa tayari mkaka wa zaidi ya miaka 20
 
Muigizaji Wa Filamu nchini, Ray kigosi (the greatest), Leo ametangaza kutarajia kupata mtoto wa pili Kwa mpenzi wake wake wa siku nyingi, Chuchu Hans.

Ray Ameandika Kwa uchungu sana huku akimshukuru mpenzi wake huyo Kwa Kumpa zawadi nyingine ya pili baada ya mtoto wao wa kwanza.

Ikumbukwe Ray mpaka Sasa ana miaka 42 na anaishi kwa mama yake mzazi.

©Bwâ MdoGo Noah ✍
Hapo shida iko wapi we jamaa?
 
Back
Top Bottom