Ray Kigosi atangaza kupata mtoto wa pili akiwa Bado anaishi kwao

Ray Kigosi atangaza kupata mtoto wa pili akiwa Bado anaishi kwao

Muigizaji Wa Filamu nchini, Ray kigosi (the greatest), Leo ametangaza kutarajia kupata mtoto wa pili Kwa mpenzi wake wake wa siku nyingi, Chuchu Hans.

Ray Ameandika Kwa uchungu sana huku akimshukuru mpenzi wake huyo Kwa Kumpa zawadi nyingine ya pili baada ya mtoto wao wa kwanza.

Ikumbukwe Ray mpaka Sasa ana miaka 42 na anaishi kwa mama yake mzazi.

©Bwâ MdoGo Noah ✍
"pumbaaaaaaaaaaaaaaaaavuuuuu " in his own voice
 
Life begin at 40,ndio kwanza ana miaka miwili tangu aanze maisha
Humu kuna watu hawana akili kuna mwamba ana miaka zaidi ya 50 na anaishi kwao na mama yake na dada yake mlemavu mpaka leo, kuna mwamba anaishi kwao mpaka leo ila Baba na mama yake waalishatangulia kuna kipindi aliiacha nyumba peke yake ikawa haina mtu akaenda kupanga sababu ya maneno ya mafala kwamba una miaka zaidi ya 40 bado unaishi kwenu?
 
Muigizaji Wa Filamu nchini, Ray kigosi (the greatest), Leo ametangaza kutarajia kupata mtoto wa pili Kwa mpenzi wake wake wa siku nyingi, Chuchu Hans.

Ray Ameandika Kwa uchungu sana huku akimshukuru mpenzi wake huyo Kwa Kumpa zawadi nyingine ya pili baada ya mtoto wao wa kwanza.

Ikumbukwe Ray mpaka Sasa ana miaka 42 na anaishi kwa mama yake mzazi.

©Bwâ MdoGo Noah ✍
Shida iko wapi
 
Ray Hana miaka 42 bhana. Ray ni KIJEBA cha Kale.

Ray anaigiza Mimi Niko shule msingi

Leo Mimi na approach 40 nimebakiza miaka michache sana eti Ray leo ana miaka 42 acha utani bhana bhana

Ray Yuko btewet 48-52
 
Back
Top Bottom