Ray Kigosi atangaza kupata mtoto wa pili akiwa Bado anaishi kwao

Shida iko wapi akiishi kwa mama ake mzazi hujui kama anamlea mama ake na anapata baraka tele
Sass siku huyo Mama Mungu akimchukuq huyo Ray aanze kusema Nyumba ni ya kwake Waanze kugombea Urithi na ndugu zake, Kwasababu ukikaa sana sehemu ambayo siyo kwako ikifikq siku unatakiwa kuhama inakua Vigumu kukubali kuondoka, Mfano mdogo utakuta Kiongozi kaishi kwenye Nyumba ya Serikali zaidi ya miaka 30 siku ikifika anatakiwa aondoke kwenye Nyumba ili mwingine aingie pakua kimbembe kuhama.
 
Kuna maisha fulani ukiishi unapata amani halisi ingawa watu watakusema ila unajikuta haujali na unachagua kuendelea hivyo hivyo
 
Coment za hivi zmepata like nying sana, Kuna kaukwel
Ni kitu kizuri sana,

Sijui kuhusu makabila mengine, kwetu kijijini unakuta boma la mzee fulani, kaka mkubwa naishi pembeni kulia, mdogo na yeye pembeni kushoto, mwingine nyuma, mwingine mbele , mwingine mita 100.

Hata kutake care wazee haikuwa shida. Siku hizi sababu ya utafutaji huyu yuko huku huyu kule lakini nyumbani yapaswa awepo hata mtoto mmoja wapo na familia yake.
 
Kitu muhimu sana, utakua ushaona wazee wanavyokua wapweke
 
Tekeleza mkuu, mi ni vile tu kaka zangu wako mbali sana.

Waafrika tunaogopa migogoro ya kifamilia au uchoyo? Kwanini hatuishi pamoja?
Kutekeleza nishaanza. Kijijini nilikataza mdogo wangu asijenge nyumba. Pamoja na kuwa watu wanadai yeye akienda kijijini anaishi kwangu (which is not true as niliwajengea wazazi).

Kuhusu vichelema vyangu, siamini watajenga kwani kila mmoja katika kibanda changu hapa Buza kwa Mpangale ninamoweka ubavu, pamoja ni mbavu za mbwa, kila mmoja ana chumba chake na choo ya shimo humo humo (selfu containa).
 
Haha umetisha mkuu.
 
Back
Top Bottom