Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

kwani na wewe unataka kuwa mweupe ??
 
Mgunduzi wa weupe kwa kunywa maji mengi,jamaa anatakiwa atunukiwe PhD ya ugunduzi wake
 
Nina siku 3 tangu nianze dozi, nakunywa maji lita 10 kwa siku nimeanza kutakata...
 
Hiyo ni kweli kabisa mkuu, hata mimi nikiwa majuu nakua mweupe na ngozi inakua laini, lkn nikija bongo hiyo rangi inatoweka. Ni afadhali nikikaa mikoani kama Mbeya, Arusha au kigoma.
 
Mi nimeliongelea hili ili kuwafanya watu wabadilike kwa waliofanya hivyo na kusoma hapa nadhani next time ikitokea issue ya kitoto kama hiyo hawatakuwa busy nayo ukiingia kwenye mitandao ya kijamii mpaka leo bado ndio topic.
Mkuu, usiwe na mawazo mabaya kuhusu huu uzi, ameua ndege wawili kwa jiwe moja. 1 watu wanakunywa maji kwa wingi ambayo ni faida kwa afya zao, 2 wauza maji wamefanya mauzo maradufu hivyo watalipa kodi ya mapato. Pia ukumbuke kazi na dawa, mtu baada ya kazi ya siku nzima, u nahitaji kiburubisho. Ambacho kwa siku hizi ni mitandaoni. Usidhini kamba watanzania hawana akili au hawawezi kufikiri kwakua wamejadili weupe wa mtu.
 
Team@haters hata ufanye kizuri namna gani bongo lazima watu wakudis noma sana ndo maana hatuendelei kisa majungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…