Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 94,296
- 122,540
Kwa hiyo weupe ni dili, siyo?
Miafrika tuna matatizo sana!
Miafrika tuna matatizo sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
duh huyo hapo ni Eminem akiwa na maghetto kids ya black america miaka ya 80s
Achana nae...asikupe stress ukashindwa kufanya yako.Maxence Melo Madame B fanyeni mpango mtuwekee kitufe cha dislike, dole chini
Ray aliweka picha tukaamini, wewe tutakuaminije?Nina siku 3 tangu nianze dozi, nakunywa maji lita 10 kwa siku nimeanza kutakata...
ndo maana nakupendaga, teh!Achana nae...asikupe stress ukashindwa kufanya yako.
Ila akirudia tena...niite
Ray aliweka picha tukaamini, wewe tutakuaminije?
Heri wewe kwa kushinda bombani, kuliko yule jamaa atakaehamia baharini wiki ijayo kasahau maji ya bahari hayanyanywekiNitakua nashinda bombani sasa
Hiyo ni kweli kabisa mkuu, hata mimi nikiwa majuu nakua mweupe na ngozi inakua laini, lkn nikija bongo hiyo rangi inatoweka. Ni afadhali nikikaa mikoani kama Mbeya, Arusha au kigoma.Mimi nina mawazo tofauti kidogo. Hivi kama background yako ilikuwa kushinda na kutembea juani,then mambo yanabadilika unaanza kutembea na kukaa kwenye gari,ofisi,nyumba full AC unafikiri utakuwa na rangi ile ile ya kupigwa na jua??? Hamjaona watu wakitoka bongo na kwenda mtoni wakirudi wanakuwaje?
Mimi binafsi nikiangalia picha zangu wakati niko mtoni na sasa hivi ni tofauti kabisa, nimekuwa mweusi pamoja na kwamba sitembei hovyo juani ila mazingira tu ya kibongobongo vumbi kibao unajikuta rangi inafifia.
My point,unaweza kuonekana mweusi ila ukiwa expsosed na mazingira fulani ngozi inang'aa bila kujichubua ni kawaida, hata nyinyi mnaopinga wengine tukiona picha zenu wakati mko vijijini sio kama mnavyong'aa leo.
Mkuu, usiwe na mawazo mabaya kuhusu huu uzi, ameua ndege wawili kwa jiwe moja. 1 watu wanakunywa maji kwa wingi ambayo ni faida kwa afya zao, 2 wauza maji wamefanya mauzo maradufu hivyo watalipa kodi ya mapato. Pia ukumbuke kazi na dawa, mtu baada ya kazi ya siku nzima, u nahitaji kiburubisho. Ambacho kwa siku hizi ni mitandaoni. Usidhini kamba watanzania hawana akili au hawawezi kufikiri kwakua wamejadili weupe wa mtu.Mi nimeliongelea hili ili kuwafanya watu wabadilike kwa waliofanya hivyo na kusoma hapa nadhani next time ikitokea issue ya kitoto kama hiyo hawatakuwa busy nayo ukiingia kwenye mitandao ya kijamii mpaka leo bado ndio topic.
Ha haaHeri wewe kwa kushinda bombani, kuliko yule jamaa atakaehamia baharini wiki ijayo kasahau maji ya bahari hayanyanyweki
Asante....nakupenda pia peterchoka....♡♡♡ndo maana nakupendaga, teh!
Nñ maana ya Celebrity kwako??? [emoji440]Team@haters hata ufanye kizuri namna gani bongo lazima watu wakudis noma sana ndo maana hatuendelei kisa majungu