Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa uongo ni upi? kuwa huwezi kuwa na ngozi inayong'aa kwasababu ya mazingira? nilivyojisemea mimi ni uongo? au nini hasa uongo wangu?wacha uwongo mbona MUGABE yuko black zaidi.
🙂🙂🙂Hauko peke yako, kwangu mimi ananiboa, anaakti na kuongea kwa kutumia nguvu sana. Huwa simuelewi kwa nini anashout. Sehemu ya emotions, yeye anapiga bonge la sauti na sauti kavu, anaakti kama shamba boi huku kakali nywele hadi nyusi na mchubuo, hovyo kabisa!
Roho ya chukibinafsi kaziniFrom my heart, simpendi Ray.
Hata naacha yeuwiiiumenza tena?
Hivi huyu Ni kaka au nilibaba Tu mtu mzima, eti anajiona bitoz zee zimaaaaView attachment 324372[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
Umri umesogea ye ameanza kuigiza sie tuko shule sasa mpaka leo hii ye bado mtoto tu?Hivi huyu Ni kaka au nilibaba Tu mtu mzima, eti anajiona bitoz zee zimaaaa
Yani halitak kukua mbufu zakeUmri umesogea ye ameanza kuigiza sie tuko shule sasa mpaka leo hii ye bado mtoto tu?
kudanya ndo nini?Duhhh huyu jamaa hata kudanya hajui .
Hahahahahaha [emoji3] [emoji2] [emoji23] , hatari mkuu, wamezungukwa na maji na bado hawabadilikiKumbe kenge na mamba ni ujinga wao tu!
Kesi nzito anatoa majibu mepesi yeye akubali tu kama wacongo si basi.Hahahahahaha [emoji3] [emoji2] [emoji23] , hatari mkuu, wamezungukwa na maji na bado hawabadiliki
Kesi nzito anatoa majibu mepesi yeye akubali tu kama wacongo si basi.