Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

Ray Kigosi: Huu ni weupe wa maji (Ununuzi wa maji waongezeka mjini)

1455955417394.jpg
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]
 
wacha uwongo mbona MUGABE yuko black zaidi.
sasa uongo ni upi? kuwa huwezi kuwa na ngozi inayong'aa kwasababu ya mazingira? nilivyojisemea mimi ni uongo? au nini hasa uongo wangu?
 
Hauko peke yako, kwangu mimi ananiboa, anaakti na kuongea kwa kutumia nguvu sana. Huwa simuelewi kwa nini anashout. Sehemu ya emotions, yeye anapiga bonge la sauti na sauti kavu, anaakti kama shamba boi huku kakali nywele hadi nyusi na mchubuo, hovyo kabisa!
🙂🙂🙂
 
Hadi thread imepoteza kabisa lengo lililokusudiwa na mtoa mada sababu ya matusi ambayo ni nje ya mada kabisa....hata haina tena mvuto wa kuchangia bora ifutwe tu sasa
 
raythewater
 

Attachments

  • CYMERA_20160220_132453.jpg
    CYMERA_20160220_132453.jpg
    86.4 KB · Views: 57
Ni maji ya aina gani hayo nianze kuyatumia?! au ni yale ya 250,000 kila mwezi?!
 
Back
Top Bottom