Ray: Siwezi kuhama nyumbani, Mama hapendi

Ray: Siwezi kuhama nyumbani, Mama hapendi

Yaani ni aibu kwa mwanamme tena mwenye jina kama lake kusema eti kupanga nyumba, kha. Wanaume wanaume wameisha dunia hii
 
Hahaha..wengi sana wazazi wao hawakutaka wahame nyumbani..ila roho ya maendeleo iliishinda roho ya umaskini..hovyo sana ray..
 
"RAY THE GREATEST"
..kumbe greatest katika kufunua ma hot pot nyumbani kwa mama
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Pengine mama hapendi
Hahahahaha na kwa7bu mama hapendi wala asiwaze kuhusu maendeleo asubiri arithishwe nyumba ye'hela zake ajinunulie tu maji anywe azidi kuwa mweupe,akili nyingine mkuu huezi kuzi-define yaani umri ule anatoa majibu mepesi yakuyajibu mvulana wa miaka 18,hapa pana shida.
 
That's the point
 
Watu wa Dodoma wa nafikiriaga pole pole saaana... Si wote ila wengi wao msameheni
 
sitamani kabisa mwanangu kuwa bongo movie au bongo fleva ,wanaishi maisha ya kucopy sana hawa viumbe ,show off kupita kiasi kumbe hakuna lolote wamechoka mno
 
sitamani kabisa mwanangu kuwa bongo movie au bongo fleva ,wanaishi maisha ya kucopy sana hawa viumbe ,show off kupita kiasi kumbe hakuna lolote wamechoka mno

Katika vitu ambavyo nitamshauri mwanangu kuvipitia mbali pamoja ulevi na madawa ya kulevya Ni Bongo movie, Bongo Fleva na kuchezea Simba na Yanga.
 
Labda kipato chake sio cha kufikisha kupata pa kupaita kwake. Bongo movie wabadili sauti zao za kuvuta inaboa sanaaaaa hata kuangalia, wawe wao na sauti zao.
 
Nay huwa hakosei mwisho wa siku wanakuja na fact wao wenyewe Kama hivi. #shikaadabuyako
 
Back
Top Bottom