Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
"RAY THE GREATEST"..kumbe greatest katika kufunua ma hot pot nyumbani kwa mama
Yeah coz wananipenda sana....
Hahahahaha na kwa7bu mama hapendi wala asiwaze kuhusu maendeleo asubiri arithishwe nyumba ye'hela zake ajinunulie tu maji anywe azidi kuwa mweupe,akili nyingine mkuu huezi kuzi-define yaani umri ule anatoa majibu mepesi yakuyajibu mvulana wa miaka 18,hapa pana shida.Pengine mama hapendi
That's the pointHahahahaha na kwa7bu mama hapendi wala asiwaze kuhusu maendeleo asubiri arithishwe nyumba ye'hela zake ajinunulie tu maji anywe azidi kuwa mweupe,akili nyingine mkuu huezi kuzi-define yaani umri ule anatoa majibu mepesi yakuyajibu mvulana wa miaka 18,hapa pana shida.
Nimehama kwa sababu sina akili za kitoto kama huyo mwenye weupe Wa maji....Mbona wewe umehama sasa?
sitamani kabisa mwanangu kuwa bongo movie au bongo fleva ,wanaishi maisha ya kucopy sana hawa viumbe ,show off kupita kiasi kumbe hakuna lolote wamechoka mno