Ray Vanny new looks

Ray Vanny new looks

Ndio maana watu wanakuandama..

Sasa hapo kapendeza nn.. Na km n maisha binafsi si ajifungie ndani asije kutuaribia watoto
Kwahiyo wana niandama kisa kusema maisha binafsi ya mtu? Sasa wee usiependa na unaona kuwa ana haribu watoto,
Nenda kam face direct na umueleze, maan hapa mtandaon hakuna litakalo badilisha hicho usichokipenda.
 
Kuna siku atakuwa mgombea jimbo fulani kama msanii star anayependwa.
 
kwani ww huyu kijana huonagi interview zake anavyotamba?

hapana mkuu,mimi huwa natumia mb zangu zote kwenye mambo ya Historia huko mfano kutazama History channel na Discovery channel.
ila nilivosoma comment yako nikapanda juu kuangalia na hiyo picha nimejikuta nacheka sana,yani ulichokisema kinaonekana kina ukweli mkubwa sana
 
Nitaendelea kumpenda Ben Pol na Ali kiba siku zote

Mionekano yao inanibariki sana.
27881488_741565899382871_2527951062468395008_n-1.jpg
dee4.png
ben-pol.png


Hawa ndio wanakubariki? Hawa wanaopaka rangi za mikeka kichwani na kupakwa mafuta mpaka kwenye makalio?
 
Back
Top Bottom