The Professor
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 2,221
- 4,564
Nilidhani ni Rose Muhando [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni maisha yake binafsi. Ila kapendeza mnooh.
Kawa wa kawaida ,kawa na maisha ya kawaida Sana, n swala la maamuzi tuuHivi huwezi kua msanii ukawa kawaida tu kama Kala Jeremiah
Kwahiyo wana niandama kisa kusema maisha binafsi ya mtu? Sasa wee usiependa na unaona kuwa ana haribu watoto,Ndio maana watu wanakuandama..
Sasa hapo kapendeza nn.. Na km n maisha binafsi si ajifungie ndani asije kutuaribia watoto
kwani ww huyu kijana huonagi interview zake anavyotamba?[emoji1787]mkuu,umenichekesha sana
kwani ww huyu kijana huonagi interview zake anavyotamba?
Nitaendelea kumpenda Ben Pol na Ali kiba siku zote
Mionekano yao inanibariki sana.
Naona unatafuta league mheshimiwa malaika😅😅🥂🥂View attachment 1549872View attachment 1549871View attachment 1549870
Hawa ndio wanakubariki? Hawa wanaopaka rangi za mikeka kichwani na kupakwa mafuta mpaka kwenye makalio?
Ahahaaaah!Naona unatafuta league mheshimiwa malaika😅😅🥂🥂
🥂🥂Ahahaaaah!
Nimekuonesha kuwa hata hao unaowasifia wana kiwango fulani cha "upuuzi".
Wala sihitaji ligi.
HatareeeeeeView attachment 1549872View attachment 1549871View attachment 1549870
Hawa ndio wanakubariki? Hawa wanaopaka rangi za mikeka kichwani na kupakwa mafuta mpaka kwenye makalio?
Hakuna mwenye afadhali,ben kapakwa kilainishi mpka kwenye kalioNitaendelea kumpenda Ben Pol na Ali kiba siku zote
Mionekano yao inanibariki sana.
🤣🤣🤣🤣🤣View attachment 1549872View attachment 1549871View attachment 1549870
Hawa ndio wanakubariki? Hawa wanaopaka rangi za mikeka kichwani na kupakwa mafuta mpaka kwenye makalio?
😀😀Sikiliza muziki wake, mengine hayakuhusu