Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
[emoji3] [emoji3] [emoji3]We jamaa una busara sana. Sijui kwanini usiwe raisi wa watanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji3] [emoji3] [emoji3]We jamaa una busara sana. Sijui kwanini usiwe raisi wa watanzania.
Povu linavokutoka sasa mke mdogoMtajua wenyewe niwe mke mdogo au vp mm naongea ninachokiona mtaan studio yake kakodisha nyumba nzima watu wanaongea ongea tu ana majumba mengi sinza! angekua na nyumba sinza angekodisha nyumba kwa ajili ya studio na makazi ya dancers wake
KwendraaaaPovu linavokutoka sasa mke mdogo
Hahaaaa ncheka kwa dharau.....hasira za maisha izi magufuri legeza kidogo babaKwendraaaa
Kumbe bado mchele unapigwa na huyu jamaaWcb wanashirikiana na riz one kupoteza mchele nchini
Kwani harmo alipokabidhiwa nyumba watu walifanya sherehe?Hongera zake kijana,ila kwa jinsi ninavyo wajua wcb wanavyo penda sifa hiyo nyumba ingekuwa ni kweli ya huyo kijana wangefanya sherehe sasa naona kimya basi kijana atakuwa kapanga!
Ulienda kununua nae?!Nenda mwana nyamala sokoni Pele mondi kanunua nyumba 2 huo wivu sijui utakuisha lini
Hizi team kiba zinatatizo
Eehh bhana, nipe namba yake kananichanganya kweliMkuu unataka ukakashilole?
Naogopa utaenda kummbemenda mtotoEehh bhana, nipe namba yake kananichanganya kweli
Single moja unaweza kupata hadi 30m kaka,kumbuka Diamond ameweka sauti yakeKwa show zipi labda....
Saksi=SykesHahaha wacha nicheke kidogo
Watu na wivu wa maendeleo
Nembo ya wcb ni logo kubwa sana hapa bongo na ndio logo bora kwa kupata matangazo mengi zaidi
Diamond kabla haja jenga mbagala amenunua nyumba zaidi ya 10 maeneo ya sinza mwananyamala na Mbezi makonde kisha
Akajenga madale na bado hadi leo anaongeza mabanda take na hao mafanikio yote n lutokana na logo take wa WCB
Vijana wake kwa sasa hawana mfano ndio wasanii chipukizi wanye mafanikio zaidi kuliko baadhi ya wasanii wa kongwe waliotangulia kwenye gemu
Ukimuliza duly saksi atakwambia wale watoto wapo kibiashara zaidi tofauti na wasanii wengine kwa hio msishangae kabisa msanii wa wcb kumiliki Gari au nyumba ni kujipanga tu kimuziki au katika kazi zako
Anazipataje?Single moja unaweza kupata hadi 30m kaka,kumbuka Diamond ameweka sauti yake