Raymond kutoka WCB avuta mjengo wa maana

VIVA RAYMOND WA WCB. NAKUPENDA BUREEEEE AMAN NI KWELI ETI HATA SIKU YA UZINDUZI WA KUHAMIA NDANI NISHAALIKWA ILA TAREHE NA MWEZI NI SIRI YANGU SIUNAJUA TENA MIMI SIKOSAGIIIIIIIII
NIMEWAONJESHA KAUBUYU HAKOOOO
Hivi haujapigwa ban tu
 
Acha uongo mondi sinza hajanunua nyumba yoyote mpk anaamia madale katoka sinza mori kwenye nyumba ya kupanga hivi kwa nn waongo nyie studio yake yenyewe kakodisha nyumba nzima mori bas angekua na majumba angeenda kwenye nyumba yake mojawapo... mondi ana nyumba mbili ya madale na aliyomnunulia mama ake kunduchi
Waongo hao jamaa hivi kama ana nyumba zote hizo angetimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi ya wcb studio haha maisha ya insta haya anapost chips anakula makande
 
Acha uongo na wewe ametimuliwa wasafi studio wapi? Wakati hadi leo inafanya kazi na leo kulikuwa na wageni pale
 
Pole mkuu, Bongo tunachukulia elimu kama sehemu ya kukutoa lkn wanafalsafa wanaamini kwenye elimu tunatafuta "furaha" (Happiness ) na sio "raha" (pleasure ).
Ambao hawakusoma sana ndio wanaomiliki mali na wanapata raha pia, ingawa si ajabu ukiwaona kesho 'Raha ikiwa imegeuka karaha'
Si rahisi Happiness kuwa sadness hasa kama ulisoma ukijua maana ya elimu.
Elimu ndio njia pekee ya kumfanya mtu awe na maisha mazuri mpaka kufa kwake sio hizi pesa za msimu za kina domo kina ferooz mr nice walikuwa na pesa sana kipindi hicho na ray c mi naamini pesa za sanaa hazina mwisho mwema ni za msmu tu zile
 
Waongo hao jamaa hivi kama ana nyumba zote hizo angetimuliwa kwa kushindwa kulipa kodi ya wcb studio haha maisha ya insta haya anapost chips anakula makande
Nyumba anazo mbili tu sio watulishe matango pori yao tunamuona kitaa kwenye nyumba za kupanga
 
Dogo anazingua!! Hiyo Nyumba na gari labda viwe vya Diamond!!

Harmonize mwenye tunaishi nae huku kunduchi kwenye nyumba ya Diamond na ile gari alishanyanganywa..anapalamia bajaji kila siku.
Ile gari kashapokonywa
 
Acha uongo na wewe ametimuliwa wasafi studio wapi? Wakati hadi leo inafanya kazi na leo kulikuwa na wageni pale
Studio za wcb zilipo sasa kabla ya pale walitumuliwa kwa kodi kupanda ndo akahamia kule vichochoroni kwa kutaka nafuu
 
VIVA RAYMOND WA WCB. NAKUPENDA BUREEEEE AMAN NI KWELI ETI HATA SIKU YA UZINDUZI WA KUHAMIA NDANI NISHAALIKWA ILA TAREHE NA MWEZI NI SIRI YANGU SIUNAJUA TENA MIMI SIKOSAGIIIIIIIII
NIMEWAONJESHA KAUBUYU HAKOOOO
Haloo wew ebu acha kujichetua
 
Mke mdogo wa mond kasema
Mtajua wenyewe niwe mke mdogo au vp mm naongea ninachokiona mtaan studio yake kakodisha nyumba nzima watu wanaongea ongea tu ana majumba mengi sinza! angekua na nyumba sinza angekodisha nyumba kwa ajili ya studio na makazi ya dancers wake
 
Dogo yuko vizuri mpeni hongera zake. Wengi mnaoponda humu bado mmepanga na itawachukua muda sana kujenga zenu mkishindwa kuappreciate ya mwenzenu[emoji41]
 
Acha uongo mondi sinza hajanunua nyumba yoyote mpk anaamia madale katoka sinza mori kwenye nyumba ya kupanga hivi kwa nn waongo nyie studio yake yenyewe kakodisha nyumba nzima mori bas angekua na majumba angeenda kwenye nyumba yake mojawapo... mondi ana nyumba mbili ya madale na aliyomnunulia mama ake kunduchi
Nenda mwana nyamala sokoni Pele mondi kanunua nyumba 2 huo wivu sijui utakuisha lini
Hizi team kiba zinatatizo
 
diamond mbagala imetoka tangu 2009 na ametawala sana music ila madale kapajenga mwaka jana tu..

ila huyu raymond katoka mwaka huu na mjengo mwaka huu.. nyimbo mbili tu katoboaaa... mmmh

Diamond ana nyumba nyingi, alikuwa anazipangisha hata wakati anapanga na ndio baadae akajenga. Ni kawaida mtu ukiwa na malengo kufanya hivyo. Kununua, kupangisha, then kuvuta pesa hadi utakapoona muda umefika.
 
Acha uongo mondi sinza hajanunua nyumba yoyote mpk anaamia madale katoka sinza mori kwenye nyumba ya kupanga hivi kwa nn waongo nyie studio yake yenyewe kakodisha nyumba nzima mori bas angekua na majumba angeenda kwenye nyumba yake mojawapo... mondi ana nyumba mbili ya madale na aliyomnunulia mama ake kunduchi
mbona diamond anaonyesha nyumba nyingi tu zaidi ya madale? Au anatupiga kamba?
 
Mtajua wenyewe niwe mke mdogo au vp mm naongea ninachokiona mtaan studio yake kakodisha nyumba nzima watu wanaongea ongea tu ana majumba mengi sinza! angekua na nyumba sinza angekodisha nyumba kwa ajili ya studio na makazi ya dancers wake
tmp_27425-1461085086529(2)-1190412996.jpg
 
Back
Top Bottom